Vyovyote iwavyo yule m Irish kama ataamua kuendelea na boxing si mtu wa kubeza hata kidogo anahitaji tweak ndogo mno kuwa mbaya katika ngumi kazidiwa na mipango tu alienda na total attack kwa money m nilitataraji achoke mapema tu lakini kaja kufa 10 th round unajua kule MMA hakuna kuvizia round ya mwishi u use every opportunity kum destroy your opponent and hitting hard sasa boxing sometime 8s like a marathon ndio mchezo aliochezewa Mcgregory .
Ila pamoja na kichapo jamaa alikuwa na furaha kuliko mayweather na alimlaum ref kwa kusimamisha pambano anafikiri kama MMA mpaka ushindwe kuamka au ufanye submission mwenyewe!
Sent using
Jamii Forums mobile app
Ukimsikiliza Maywether anakiri kua pambano lake na Pacman lilimuumiza kichwa sana. Akaamua kubadilika style ya kupigana. Akaja na hii ya Ku attack akaachana na ile ya Defence.
Kuhusu maendeleo:-
Maywether anasema alipanga iwe hivyo amuache jamaa ashambulie kwanza yeye atamuacha apunguze kasi, ila atamshambulia baadaye kwanjia ya Ku -attack.
Hata hivyo Mc Gregor alionekana kuongoza kwa point dhidi ya Maywether.
Maywether alitulia na kumchosha mc Gregor. Kuanzia round 7 mpaka 10.
Kule MMA wanapigana round kuanzia round 3 hadi 5.
Pia swala LA mc Gregor kua na Furaha halina mashiko na matokeo hats kidogo. Watu huweza kujipa matumaini ama Ku Pretend. Pia kuna wakati hata Maywether alipokwenda mapumzikoni, aliangalia Camera akatabasamu na kuachia meno wazi. Pamoja na kua ilionekana wazi Maywether ndiye ameelemewa zaidi na alikua nyuma kwa point dhidi ya mc Gregor.
Hizi ni swaga tu. Haziamui matokeo.
Pia
Mechi ya mwisho ya Pacman alimbonda yule mpinzani wake Antonio mpaka akamharibu sura lakini, matokeo yakaonyesha Pacman ameshindwa pambano.
Kwakua kama kawaida imezoeleka kua Maywether alikua ana haters wengi waliokuja kumuona akipigwa na sio akishinda. Na Maywether alilijua hilo. Ndio maana Mara nyingi alikua hatoi fursa yeye kuwapungia mashabiki, anajua angepokea "Booo crap".
McGregor anakiri kua hajaumia ila alikua amechoka(Fatigue). Which is True.
Mc Gregor alionekana kufanya makosa kadhaa ikiwemo kumpiga Maywether kichogoni Mara kwa Mara na kumshika. Hii inaonyesha anasafari ndefu sana ilikua boxer WA kiwango cha juu.
Refa Ali'stopisha pambano round ya 10, kwakua mc Gregor angeweza kuumia zaidi kama angeendelea kudundwa(TKO). Manake alikua hajibu kitu.
Cha msingi Maywether aliahidi kua atapigana kwa style ya confrontational na ndio aliitumia kushinda. Kwakifupi ametenda alichokisema.
Maywether ndiye mwenye furaha zaidi kwasababu ameweza kulinda heshima yake ya kutokupigwa hadi umri ile. Na kua alisema yeye hajaumbwa kushindwa.
Mc Gregor atakua na bonus ya kujulikana na kuvuna pesa nyingi.
Ikumbukwe kua:-
Manny pacquao(PACMAN) alitoa utabiri kua Maywether atashinda pambano hili.
Boxer professionals sikuzote wanajua kufanya analysis za mchezo WA masumbwi kwa usahihi kwasababu wanawajua zaidi mabondia na changamoto gani zipo ndani ya Ringi.
Sisi wengine tunaweza kuja na "emotional judgements )" which are too absurd to entertain.
Sent using Jamii Forums mobile app