Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Ndio angeyafanya hayo kabla hajaja maana kabla alitamba kuwa kwa umakini na uzoefu kwenye mchezo atakuwa na pumzi ya kutosha ila matokeo yameenda ndivyo sivyo akubali kuwa Maiweza ni mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alitaka kupiga mpunga tu, ila alijua hawezi kutoboa kwa May

Sent using Jamii Forums mobile app
Vyovyote iwavyo yule m Irish kama ataamua kuendelea na boxing si mtu wa kubeza hata kidogo anahitaji tweak ndogo mno kuwa mbaya katika ngumi kazidiwa na mipango tu alienda na total attack kwa money m nilitataraji achoke mapema tu lakini kaja kufa 10 th round unajua kule MMA hakuna kuvizia round ya mwishi u use every opportunity kum destroy your opponent and hitting hard sasa boxing sometime 8s like a marathon ndio mchezo aliochezewa Mcgregory .
Ila pamoja na kichapo jamaa alikuwa na furaha kuliko mayweather na alimlaum ref kwa kusimamisha pambano anafikiri kama MMA mpaka ushindwe kuamka au ufanye submission mwenyewe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni boxers wangapi wanataka kupigana nae na hawapi attention? Amir Khan alitaka kupigana nae mbona May alichomoa?

Soma uelewe, labda wewe ndiye hujui chochote..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukuwa na pesa ya maana,

Kwa akili yako Khan anaweza kusimama na Floyd?

Mbona pambano la Khan na Pac nalo lilishindikana unalizungumziaje hapa?
 
Ndio angeyafanya hayo kabla hajaja maana kabla alitamba kuwa kwa umakini na uzoefu kwenye mchezo atakuwa na pumzi ya kutosha ila matokeo yameenda ndivyo sivyo akubali kuwa Maiweza ni mkali

Sent using Jamii Forums mobile app
No doubt mayweather yuko vyema wanaopinga ndio walewale ya uccm na ucdm bila ku base na kilicho mbele ya macho yao wanashughulika na ya mioyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni boxers wangapi wanataka kupigana nae na hawapi attention? Amir Khan alitaka kupigana nae mbona May alichomoa?

Soma uelewe, labda wewe ndiye hujui chochote..

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona mgumu kuelewa? Nimesema McGregor ndiye aliyeanza na sio kwamba Mayweayher "amemchagua". By the way hao mabondia ambao huwa wanabwabwaja kutaka kupigana na Mayweather wanajua kwamba watapata hela nyingi ndio maana huwa wanachonga. Mayweather hana tena cha ku-prove, ashapambana na mabondia wote wakali kwenye uzito wake na amewapiga kuanzia Shane Mosley, Ortiz, De La Hoya, Hatton, Zab Judah, Garcia, Cotto, Canelo, Maidana, Juan Marquez, Paquiao na wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaongea kitu kile kile nilichokiongea on my previous posts..

Tatizo mnadhani kila anaye underrate hili pambano ni Floyd hater.. I've been Floyd fan since day one

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unaongea kitu kile kile nilichokiongea on my previous posts..

Tatizo mnadhani kila anaye underrate hili pambano ni Floyd hater.. I've been Floyd fan since day one

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekusoma Mkuu. Point yangu ilikuwa kwamba McGregor ndiye aliyeanza na sio kwamba Maywether alimchagua kama baadhi ya watu wanavyoamini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ukimsikiliza Maywether anakiri kua pambano lake na Pacman lilimuumiza kichwa sana. Akaamua kubadilika style ya kupigana. Akaja na hii ya Ku attack akaachana na ile ya Defence.

Kuhusu maendeleo:-
Maywether anasema alipanga iwe hivyo amuache jamaa ashambulie kwanza yeye atamuacha apunguze kasi, ila atamshambulia baadaye kwanjia ya Ku -attack.

Hata hivyo Mc Gregor alionekana kuongoza kwa point dhidi ya Maywether.
Maywether alitulia na kumchosha mc Gregor. Kuanzia round 7 mpaka 10.

Kule MMA wanapigana round kuanzia round 3 hadi 5.


Pia swala LA mc Gregor kua na Furaha halina mashiko na matokeo hats kidogo. Watu huweza kujipa matumaini ama Ku Pretend. Pia kuna wakati hata Maywether alipokwenda mapumzikoni, aliangalia Camera akatabasamu na kuachia meno wazi. Pamoja na kua ilionekana wazi Maywether ndiye ameelemewa zaidi na alikua nyuma kwa point dhidi ya mc Gregor.
Hizi ni swaga tu. Haziamui matokeo.

Pia
Mechi ya mwisho ya Pacman alimbonda yule mpinzani wake Antonio mpaka akamharibu sura lakini, matokeo yakaonyesha Pacman ameshindwa pambano.

Kwakua kama kawaida imezoeleka kua Maywether alikua ana haters wengi waliokuja kumuona akipigwa na sio akishinda. Na Maywether alilijua hilo. Ndio maana Mara nyingi alikua hatoi fursa yeye kuwapungia mashabiki, anajua angepokea "Booo crap".

McGregor anakiri kua hajaumia ila alikua amechoka(Fatigue). Which is True.

Mc Gregor alionekana kufanya makosa kadhaa ikiwemo kumpiga Maywether kichogoni Mara kwa Mara na kumshika. Hii inaonyesha anasafari ndefu sana ilikua boxer WA kiwango cha juu.

Refa Ali'stopisha pambano round ya 10, kwakua mc Gregor angeweza kuumia zaidi kama angeendelea kudundwa(TKO). Manake alikua hajibu kitu.

Cha msingi Maywether aliahidi kua atapigana kwa style ya confrontational na ndio aliitumia kushinda. Kwakifupi ametenda alichokisema.

Maywether ndiye mwenye furaha zaidi kwasababu ameweza kulinda heshima yake ya kutokupigwa hadi umri ile. Na kua alisema yeye hajaumbwa kushindwa.

Mc Gregor atakua na bonus ya kujulikana na kuvuna pesa nyingi.

Ikumbukwe kua:-

Manny pacquao(PACMAN) alitoa utabiri kua Maywether atashinda pambano hili.
Boxer professionals sikuzote wanajua kufanya analysis za mchezo WA masumbwi kwa usahihi kwasababu wanawajua zaidi mabondia na changamoto gani zipo ndani ya Ringi.


Sisi wengine tunaweza kuja na "emotional judgements )" which are too absurd to entertain.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Right on buddy!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rant nyingi kufuru na majigambo ndio sababu kuu iliomfanya CONOR mc gregory kuloose battle ambayo ingemfanya kua na heshima kubwa sana ndani ya UFC na MMA kwa ujumla.
THE NOTORIOUS kama anavojiita mwenyewe anafaamika sana kwa kuRANT excess na kua mtu wa hasira sana na tambo hizi inasemekana humtia hasira zaidi opponent na kumfanya kutaman kumchafua tuu maana hamna namna..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…