Mi nastream yangu wameiblok nipe kinachoendeleaMwanangu mkeka umechanika huo
by emma mjasiriamali
Maywether anampiga huyu mzungu jamaa kachoka hatari.....anampiga za uso hatari
Round ngapi hamna knock out?Game is over.
Maywether winner
Sio mbaya sana.Apunguze kucheza fauloUyu mzungu aliwezaje kumtandika mfilipino
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?