Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Bondia Floyd Mayweather amchakaza Conor McGregor kwa TKO ktk raundi ya 10

Hili pambano kama unategemea Online Streaming inabidi uweke laptop mezani ufanye kazi ya ziada, maana jamaa wanajitahidi ku-shut down links zote zinazoonyesha live. Nasikia wanawatishia watu kwamba watawashitaki, hivyo hapa natafuta channel nyingine kila baada ya dakika 15, jamaa wameamua kupiga hela si kitoto
 
Back
Top Bottom