Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haitostack stack kweli?View attachment 575697View attachment 575698View attachment 575699
kwa watumiaji wa Android kuna App inapatikana katka Apk format una weza i google..
Note!..
haipo playstore so google Mobdro Apk utaipata then
cheki sports channel una weza iona kweny Channel ya Sport Klub1
...
Mapambano ya Utangulizi ndio yana endelea mtanange wenyewe bado hauja anza apa
Sent from my iphone 6s using Jamii Forum Mobile app
Limeanza fata link ya mtoa post namba 63
Round ya nne lakin huyu mzungu anacheza rafu nyingi inaelekea atakaa sio midaTupeni updates ya pambano round ya ngap, na nani anaonekana kua fit
Kama una internet yenye speed hupati tabuHaitostack stack kweli?
Aminia mkuu asante sana. Uzidi kutupa taarfa za hilo pambanoRound ya nne lakin huyu mzungu anacheza rafu nyingi inaelekea atakaa sio mida
Sent using Jamii Forums mobile app
So far McGregor yuko vizuriTupeni updates ya pambano round ya ngap, na nani anaonekana kua fit
Mbona mzungu yuko fresh... sio wa kukaa sasa hivi huyuRound ya nne lakin huyu mzungu anacheza rafu nyingi inaelekea atakaa sio mida
Sent using Jamii Forums mobile app