Bondia Hassan Mwakinyo anauharibu mchezo ngumi

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Kila pambno lake anaweka vigisu ninwasi Sasa njama zinatumika kumdidimiza mwakinyo kwa kile kitendo chake Cha kujifanya don care kwa vile ndugu yake anaweza kumkingiwa kifuwaa na naibu waziri wa michezo mh hamis mwinjuma

Jana tulikaa had saa Tisa kwenye mabaar na kusababisha mm kupata hasra za bia za elf 50 nilizo kunywa nikisubiria pambno lake

Hi ni mara ya tatu bondia huyu anatudispoint watz wependa ngumi
Kwa mwenendo huu pambano lake lolote halita kuwa na mvuto labda apigane na kiduku arejeshe makali yake vinginevyo aletewe yule msouth aliye mpiga kiduku ,na selemani kidunda kwa pambano Hilo nitalitazama

Je, sababu zipi zimetolewa kwa pambano lakke kuto kuchezwa
 
Je sababu zipi zimetolewa kwa pambano lakke kuto kuchezwa
Hebu tulia, shusha pumzi, halafu ndio utueleze vizuri nini kilitokea.
 
Mwakinyo kujisimamia kupata haki zake inafanya baadhi ya wadau kwenye ngumi kutaka kumuharibia. Haiwezekani dk chache kabla ya pambano kiongozi wa WBO ambae ndo anapaswa kuidhinisha pambano asipatikane kwenye simu.
 
Kuna mengi nyuma ya hayo
 
Watu bhn mnamakasiriko sana .. changamoto haswa ni nn mwakinyo kuhairisha pambano au wewe kuingia hasara ya 50k ...

ili tujue tunaanzia wapi ili swala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka awe

🔹Promota mwenyewe

🔹 Bondia amatafute mwenyewe na wakubaliane malipo

🔹 Ukumbi aandae mwenyewe

🔹 Marefa awachague mwenyewe

🔹Fedha akusanye mwenyewe

🔹Mabondia wa kusindikiza awatafute mwenyewe na awalipe yeye
 
Back
Top Bottom