Bondia Hemed Rashid apigwa hadi kutapika na kuzimia Dar Boxing Derby

Punch landed successfully unapigwa punch za kichwa higher center inakua compromised unatapika aisee

Halafu mtu anakuja kukwambia sjui network money 💰 sjui fungua link upate iPhone 14
 
Watakuja fia ulingoni wala matembele hawa...
 
Akipiga kama amepigwa, akipigwa kama amepiga..
Fala yule mi nshaanza kumkataa siku hizi. Ye acheze ngumi..ile last time alinikera kuleta mbwembwe..yeye apigane kawaida tu. Mbwembwe zije baada ya mpambano na kabla, sio ndani ya ulingo.
 
😂😂😂😂
download.jpg
 
Si mbaya wala nzuri kikubwa amepambana na hayo ni matokeo ya kupigana.
 
HII HABARI WATU WANAPIGANA WANAPASUANA WANAUANA HALAFU BINAADAMU WALIOSTAARABKA WANAAMBIWA NI MCHEZO INAASHIRIA UPUUZI NA UJINGA WA KIUMBE BINAADAMU.
 
Huu mnaouita mchezo wa ndondi sijawahi kuukubali kabisa! Hivi kupigana ngumi unakuawaje mchezo?
Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yake.
 
HII HABARI WATU WANAPIGANA WANAPASUANA WANAUANA HALAFU BINAADAMU WALIOSTAARABKA WANAAMBIWA NI MCHEZO INAASHIRIA UPUUZI NA UJINGA WA KIUMBE BINAADAMU.
Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yake
 
Hayo ni mapigano ngumi ngumi,mpira unaona KABISA watu wanakimbiza kidude cha mviringo chenye upepo.KUPIGANA NGUMI HADHARANI NA KUITA MICHEZO NI TABIA ZA KIHAYAWANI.
 
Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yake.
Kuna tofauti kubwa baina ya hiyo michezo mingine na huu mnaouita mchezo wa ndondi. Michezo mingine mfano mpira mnagombania mpira, mkigongana na mmoja kuumia hiyo ni ajali. Marathon hali kadhalika mtu anafukuza upepo akidondoka na kuumia hiyo ni ajali. Vipi kuhusu Ndondi? Mlengwa ni mtu tena analengwa kupigwa kichwani ndio point ipatikane. Yaani unahangaika kumdunda/kumpiga binadamu mwenzio tena kichwani kwenye ubongo hata ikibidi kuua ili upate ushindi, halafu mnauita ni mchezo. Kwangu mimi Tony ni HAPANA.
 
Basi poa mkuu we lala.
 
Nadhani boxing Tanzania hawako serious huu mchezo kuna regulation zake ili bondia apewe ruhusa kupanda ulingoni kuna mambo lazima apitie lakini siku hizi kila mtu anataka kupanda ulingoni bila kuwa tayari kukabiliana na hali hii sio mbali watakuja kupoteza mtu kwa mambo ya masihara kama yakina Mandonga mtu anapigana kila wiki mbili.
 
Back
Top Bottom