spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Unajifanya hujui eeeeKwanini yeye na sio mwakinyo, au kiduku??
LazimaHaja hara kweli
Akipiga kama amepigwa, akipigwa kama amepiga..Sms hi imfikie Mandoga mtu kazi
Fala yule mi nshaanza kumkataa siku hizi. Ye acheze ngumi..ile last time alinikera kuleta mbwembwe..yeye apigane kawaida tu. Mbwembwe zije baada ya mpambano na kabla, sio ndani ya ulingo.Akipiga kama amepigwa, akipigwa kama amepiga..
😂😂😂😂Fala yule mi nshaanza kumkataa siku hizi. Ye acheze ngumi..ile last time alinikera kuleta mbwembwe..yeye apigane kawaida tu. Mbwembwe zije baada ya mpambano na kabla, sio ndani ya ulingo.
😂😂😂 fala kweli hili.
Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yake.Huu mnaouita mchezo wa ndondi sijawahi kuukubali kabisa! Hivi kupigana ngumi unakuawaje mchezo?
Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yakeHII HABARI WATU WANAPIGANA WANAPASUANA WANAUANA HALAFU BINAADAMU WALIOSTAARABKA WANAAMBIWA NI MCHEZO INAASHIRIA UPUUZI NA UJINGA WA KIUMBE BINAADAMU.
Hayo ni mapigano ngumi ngumi,mpira unaona KABISA watu wanakimbiza kidude cha mviringo chenye upepo.KUPIGANA NGUMI HADHARANI NA KUITA MICHEZO NI TABIA ZA KIHAYAWANI.Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yake
Kuna tofauti kubwa baina ya hiyo michezo mingine na huu mnaouita mchezo wa ndondi. Michezo mingine mfano mpira mnagombania mpira, mkigongana na mmoja kuumia hiyo ni ajali. Marathon hali kadhalika mtu anafukuza upepo akidondoka na kuumia hiyo ni ajali. Vipi kuhusu Ndondi? Mlengwa ni mtu tena analengwa kupigwa kichwani ndio point ipatikane. Yaani unahangaika kumdunda/kumpiga binadamu mwenzio tena kichwani kwenye ubongo hata ikibidi kuua ili upate ushindi, halafu mnauita ni mchezo. Kwangu mimi Tony ni HAPANA.Jana kipa wa Iran alipata maumivu makali na aliamua kutoka nje baada ya kugongana na mchezaji mwenzake hiyo ni hali ya kawaida katika mashindano mkuu, iwe marathon, football ama Amerikani football. Much love to him, Mungu amjalie afya arudi kwenye majukumu yake.
Basi poa mkuu we lala.Kuna tofauti kubwa baina ya hiyo michezo mingine na huu mnaouita mchezo wa ndondi. Michezo mingine mfano mpira mnagombania mpira, mkigongana na mmoja kuumia hiyo ni ajali. Marathon hali kadhalika mtu anafukuza upepo akidondoka na kuumia hiyo ni ajali. Vipi kuhusu Ndondi? Mlengwa ni mtu tena analengwa kupigwa kichwani ndio point ipatikane. Yaani unahangaika kumdunda/kumpiga binadamu mwenzio tena kichwani kwenye ubongo hata ikibidi kuua ili upate ushindi, halafu mnauita ni mchezo. Kwangu mimi Tony ni HAPANA.