Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote
Ni usiku huu

Mandonga aokolewa na refa round ya mwisho wa mchezo

IMG_0723.jpeg


1712872609791.jpg
 
Mandonga.jpeg
Bondia Karim Mandonga amepoteza pambano dhidi ya Mada Maugo kwa kupigwa katika Raundi ya 6 kwa TKO kwenye pambano lililofanyika Mkoani Morogoro.

Ngumi iliyopigwa kwenye kidevu katika pambano hilo la Raundi 6 ilimfanya Mandonga apoteze mwelekeo, ndipo mwamuzi Pendo Njau akaingilia na kumaliza pambano.

Baada ya pambano, Maugo amesema “Mwalimu wangu ambaye ni mke wangu aliniambia niwe na utulivu ulingoni, hilo nimelitimiza, nikikutana na Mandonga popote pale bado nitampiga tena.”

Upande wa Mandonga amesema “Maugo hawezi kunisumbua, ni mchezo tu, uwezo wa kunipiga hana.”
Mandongaa.jpeg

Mandonga1.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: rr4
jana kwenye kupima uzito nilimwambia mtu mada haongei sana atamtwanga mandonga akanibishia ngoja nimtafute
 
Mandonga = mwakinyo
Change my mind
 

Attachments

  • GK6kyFbaIAArqqx.jpeg
    GK6kyFbaIAArqqx.jpeg
    539.3 KB · Views: 4
Niliposikia tu hili pambano nikajua nani atashinda

Mada Maugo nasikia anataka agombee jimbo la Ukonga haya aje apambane na Jerry
 
Wote wanaganga njaa hao.....wanasogeza siku tu....Maugo njaa piaa
 
Back
Top Bottom