Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

Bondia Karim Mandonga apigwa Knockout na bondia Maugo

Huyu Mandonga atafia ulingoni wakiendekeza njaa.

Anapigana na watu wanao mshinda uwezo kwa kiasi kikubwa sababu ya njaa.
 
Mada Maugo alikua kapania sana na rough zilikua nyingi naweza sena kamchezea hovyo Mandoka japo nikubali pia mwana ana uwezo mkubwa kumshinda mtu kazi.
 
Uzuri wa Mandonga hata akipigwa ameshinda tu.

"Endorsement" zitazidi hapo.

Ameweka rikodi ya duniani ya boxer pekee ambae akipigwa watu wanamshangilia.
Mada Maugo ni wa Nchi gani kwani?
 
jana kwenye kupima uzito nilimwambia mtu mada haongei sana atamtwanga mandonga akanibishia ngoja nimtafute
Mada kama ni bondia kweli si apigane na mabondia wenzake?

Nimeanza kumsikia Mada Maugo muda mrefu, si sahihi kumpa pambano na comedian Mandonga.

Hii haina tofauti na Simba ilikuwa inafungwa timu ya mtaani kama Dar combaini goli 7 Kwa 0 na kuanza kujitamba.

Hivi Marekani kuipiga Comoro au Malawi kuna cha kujisifu hapo?
 
Sasa mbona title ya uzi inambeba Mandonga?

Kwanini isingekuwa Mada Maugo amtwanga Mandonga kwa TKO?
Hata huyo Madam Maugo pamoja NI wa zamani kashasahaurika, hapo katembelea nyota ya Mandonga.

Mandonga wamtafutie mapambano na wanaojifunza boxer kwenye gym ndogo, Mandonga siyo bondia, Kwa umbo lake angekuwa NI bondia angekuwa hatari Sana, kuna mabondia wazuri lakini wamekosea miili.
 
Back
Top Bottom