Bondia mrembo zaidi duniani Laila Ali

Mkuu kipindi mike tyson ametoka jela anaanza kupigana ulifatilia mapambano yake? Kama ulifatilia utakuwa ulimuona huyu maana kwenye mapambano ya utangulizi alikuwepo, tatizo la huyu demu anapiga kama wanaume
Hahahahah anakupa nako mpaka unasema uwii nisamehe mke wangu utaniua baba watoto wako sichelewi kurudi tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Msitukhanithi enyi watu.

Kwa urembo sawa lakini sio kuitia hiyo "zaidi duniani"

Labda ungesema "mrembo zaidi duniani kwa muono wangu"
 
Mkuu kipindi mike tyson ametoka jela anaanza kupigana ulifatilia mapambano yake? Kama ulifatilia utakuwa ulimuona huyu maana kwenye mapambano ya utangulizi alikuwepo, tatizo la huyu demu anapiga kama wanaume
Kama Mwanaume
 
The game aliwahi kurap β€œGot a bitch that look like Laila Ali sittin' in my lap”
 
Kwa bongo tunao wanawake wanaocheza hiyo boxing? Nahitaji niwaone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…