Bondia mrembo zaidi duniani Laila Ali

Bondia mrembo zaidi duniani Laila Ali

Bondia Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa Bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama ‘Bondia Mrembo zaidi Duniani’. Kwa sasa ameshastaafu mchezo huo wapili kwa kupendwa zaidi Tanzania baada ya Mpira wa miguu, akiwa ameanza mapambano mwaka 1999 mpaka 2007.

Laila.jpeg

Katika mapambano yake hajapoteza hata moja mpaka anatundika ‘gloves’, katika mapigano 24 aliyoshinda, 21 amewadondosha wapinzani wake kwa KO. Kwa sasa ana umri wa miaka 43 bondia huyu wazamani wa Marekani.

0615_oag-laila-ali-1000x813-1.jpeg

2012 ameshinda tuzo ya AOC, 2002, 2005, 2007 WBC WIBA World Super Middleweight, 2004 IWBF Female light heavyweight na 2002-2004 IWBF & IBA female Super Middleweight. Kwa kifupi hakubakiza kitu kwenye kila mkanda aliyopigania mwanadada huyu ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 43 akionekana mwenyefuraha tele kwenye maisha yake.

g252145_u95731_images_1.jpeg

Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, huyu aliamua kutembea mulemule alipopita baba yake Muhammad Ali wapenzi wa ngumi hakuna asiyemjua, katika zama zake alifanya makubwa. Dunia inamtambua Laila Ali kama moja kati ya Bondia wa kike wakubwa wa muda wote.
Acha tu, yaani ni bonge la demu, absolutely lightskin bootie, ila wasiwasi na hayo mangumi yake, imagine ni mke wako halafu labda ana wivu na mtemi kwenye boma...
Kwa kweli aidha uwe nawe mtemi au unajiweza kuhimili knuckles zake..
laila ali 1.jpg
laila ali 3.jpg
laila ali 3.jpg
laila ali 4.jpg
 
Bondia Laila Amaria Ali ni mtoto wa nane kati ya tisa wa Bondia Muhammad Ali, mwanadada huyu anatajwa kama ‘Bondia Mrembo zaidi Duniani’. Kwa sasa ameshastaafu mchezo huo wapili kwa kupendwa zaidi Tanzania baada ya Mpira wa miguu, akiwa ameanza mapambano mwaka 1999 mpaka 2007.

Laila.jpeg

Katika mapambano yake hajapoteza hata moja mpaka anatundika ‘gloves’, katika mapigano 24 aliyoshinda, 21 amewadondosha wapinzani wake kwa KO. Kwa sasa ana umri wa miaka 43 bondia huyu wazamani wa Marekani.

0615_oag-laila-ali-1000x813-1.jpeg

2012 ameshinda tuzo ya AOC, 2002, 2005, 2007 WBC WIBA World Super Middleweight, 2004 IWBF Female light heavyweight na 2002-2004 IWBF & IBA female Super Middleweight. Kwa kifupi hakubakiza kitu kwenye kila mkanda aliyopigania mwanadada huyu ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 43 akionekana mwenyefuraha tele kwenye maisha yake.

g252145_u95731_images_1.jpeg

Waswahili wanasema mtoto wa nyoka ni nyoka, huyu aliamua kutembea mulemule alipopita baba yake Muhammad Ali wapenzi wa ngumi hakuna asiyemjua, katika zama zake alifanya makubwa. Dunia inamtambua Laila Ali kama moja kati ya Bondia wa kike wakubwa wa muda wote.
Sikuwahi msikia kabisa.Hayo mambano yalikuwa ya level gani?
 
Ndio pisi, mnataka namba zake za nini?
Ukiwa na kibamia unachapika hapo
Ukiwa hupandi mpaka vumbi la Kongo au alikasusu Unachapo
Ukiwa uapeleka tochi kwa kushika na mkono yenyewe hajui njia Unachapika
Ukiwa ile unaona tu pichu au Papuuuu au ukiigusa wazungu haoooo Unachapika hapo

Kimsingi mnaovaa boxer zinaoneka njee mwacheni huyo ni wetu
Aisee!
 
Back
Top Bottom