Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

Naipendatz

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2011
Posts
5,096
Reaction score
8,234
Serikali ya Malawi kupitia Wizara ya Kilimo, imechukua hatua hiyo ikiwa ni miezi michache tangu iidhinishe kilimo na matumizi ya bangi nchini humo tarehe 27 Februari 2020.

1637731235683.png
 
View attachment 2021547
Acha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.

Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
 
Jinsi walivyosisitiza kwenye hiyo "letter of appointment" sidhani kama uandikacho kinatekelezwa "field"
 
Hii fursa sijui kwanini serikali inafumbia macho.
Bangi ya ikilimwa hapo Arumeru na Tarime ingeingiza mabilioni ya kigeni
Tunapenda unafiki sana kuliko uhalisia kwa sababu anayetaka kuvuta bangi Leo hawezi kuikosa ipo mtaani kibao.
 
Ili baadae mpate kipya cha kutukana mamlaka?
 
Hii fursa sijui kwanini serikali inafumbia macho.
Bangi ya ikilimwa hapo Arumeru na Tarime ingeingiza mabilioni ya kigeni
Tunapenda unafiki sana kuliko uhalisia kwa sababu anayetaka kuvuta bangi Leo hawezi kuikosa ipo mtaani kibao.
Tutabadilika taratibu, kuna vitu vilikuwa havikubaliki kabisa hapa nchini lakini kwa sasa vinakuwa accepted mdogo mdogo
 
Back
Top Bottom