Bondia mstaafu wa Marekani, Mike Tyson, ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo

Acha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.

Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Sioni popote alipo potosha.

Angeliandika kuwa Malawi imeruhusu matumizi ya bhangi hapo sawa, lakini hili la kutafuta boxer mvuta bhangi ili kupromote zao lao la kibiashara siyo upotoshaji huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.

Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Kama wote wataomba kibali cha ulimaji,hali itakuwaje? By the CCTV camera ziwekwe mashambani kukamata wezi maana wabongo watazamia tu huko
 
Mbona hausemi kama watz wote wataomba kibali cha kuwinda wanyama itakuwaje!
 
😀😀😀 Sasa akiwa balozi wa bangi kaziyake ndio nini,kutangaza kama bangi ya malawi ndio nzuri na kalizaidi!!.

Nasiku akitembelea hapa Tanzania aje na ujumbehuo.
Hii ni achievement na inafaida kubwa sana kwa nchi, nchi itajulikana na bidhaa zake zinaweza kupata masoko
 
Acha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.

Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Sasa siruhusa
 
Yaani MALAWI wavuta BANGI wana enjoy sana,mtu anavuta barabarani na polisi wanamtazama tu sema ndo hivyo tena MIJI yote imejaa MACHIZ.
 
The Ministry of Agriculture of Malawi sent Tyson a letter asking him to take the aforementioned position in the south-eastern African nation, which legalised the medicinal and industrial use of cannabis in 2020, in order to promote economic growth and diversify its economy as the tobacco market declined.

0_TysonM.jpg
View attachment 2031378View attachment 2031377
 
Back
Top Bottom