Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Sioni popote alipo potosha.Acha upotoshaji, Malawi haijaruhusu matumizi ya bangi, ukikamatwa unalima na unatumia utachukuliwa hatua za sheria. Watanzania tunapenda sana kupotosha mambo.
Kilimo cha bangi ni kwa wenye leseni tu nao hawaruhusiwi kuitumia, bangi inauzwa na kununuliwa na wenye leseni tu kwa matumizi ya malighafi za viwanda husika vilivyoidhinishwa na serikali kwa ajili ya utengenezaji wa dawa kama ilivyo sumu ya nyoka.
Angeliandika kuwa Malawi imeruhusu matumizi ya bhangi hapo sawa, lakini hili la kutafuta boxer mvuta bhangi ili kupromote zao lao la kibiashara siyo upotoshaji huo.
Sent using Jamii Forums mobile app