snoop doggy, mzee wa dog style na ile sigara kubwa a.k.a ganja, msuba, dope, kushabo, bangi itaondolewa kwenye orodha ya dawa za kulevya, soon kutakuwa na maeneo inakostawi bangi na kilimo chake kupamba moto kama kilimo cha tumbaku tabora.
Kuna ukanda utajipatia umaarufu kwa kilimo cha bangi kama ikihalalishwa, rejea kilimo cha pamba maswa, kilimo cha ndizi bukoba, kilimo cha chai mufindi, kilimo cha miwa kilombero, kilimo cha karafuu zanzibar, kilimo cha tumbaku tabora, kilimo cha pareto, kilimo cha mihogo, maharage arusha. Kuna kanda huwa wanachomewa mashamba ya bangi huenda wakawa ndiyo wakulima wakubwa wa bangi ikihalalishwa