Asante ndugu kwa jibu lako, nimejifunza kipya leo.Hakuna shitaka lolote dhidi ya mpinzani
Kabla ya pambano lazima usaini mkataba wa kukubaliana na lolote hata kifo
Pia sheria ipo wazi kuwa alipigana kwa ridhaa yake
Valento non fit injuria
Once u consent there is no liability in tort
Ooh nashukuruHatofunguliwa mashtaka sababu ni mchezo halali na umefuata sheria na kuna mikataba huwa wanasaini kabla ya pambano
BONDIA ALIYEUA NASHAURI WAWE WANASTAFISHA TU MAANA ATAKUWA ANAOGOPWA KWELIKWELI
Dunia nzima inapaswa kupiga marufuku,unamuuaje binadamu mwenzako afu unashangiliaNdio maana Zanzibar ulipigwa marufuku.
Atashitakiwa mkuu ..kuna vipengele vitamfunga.Hakuna shitaka lolote dhidi ya mpinzani
Kabla ya pambano lazima usaini mkataba wa kukubaliana na lolote hata kifo
Pia sheria ipo wazi kuwa alipigana kwa ridhaa yake
Valento non fit injuria
Once u consent there is no liability in tort
Nakonnect dots naanza kuelewa kitu hapa.very easy kuandika R.I.P
kuna mtu hali yake mbaya huko tangu
apewe habari za msiba
Habari za misiba sio za kuletea matani kabisa
Atashitakiwa mkuu ..kuna vipengele vitamfunga.
Hivi kwahiyo aliemtwanga atafunguliwa mashtaka ya mauaji?
Kama ndio, Ni Kwanini?
Kama sio, Ni Kwanini?
Ni katika kutaka kujifunza tu.Kwanini umeuliza maswali ya Kwanini???
Hivi kwahiyo aliemtwanga atafunguliwa mashtaka ya mauaji?
Kama ndio, Ni Kwanini?
Kama sio, Ni Kwanini?