Bondia Patrick Day afariki baada ya kichapo kikali

Bondia Patrick Day afariki baada ya kichapo kikali

Hakuna shitaka lolote dhidi ya mpinzani
Kabla ya pambano lazima usaini mkataba wa kukubaliana na lolote hata kifo
Pia sheria ipo wazi kuwa alipigana kwa ridhaa yake
Valento non fit injuria
Once u consent there is no liability in tort
Asante ndugu kwa jibu lako, nimejifunza kipya leo.
 
Huu mchezo ni mbaya sana na hata Mungu hapendi michezo ya aina hii "jeuri"
 
watu wanakufa kwenye football, hiyo ni bahati mbaya tu, mbona akina mayweather, tyson wamepigana miaka zaid ya 20 bado wako safi tu
 
Aogopwe na nani? ni game tu na round ya 10 chochote kingetokea kwa yeyote wote walikua na boxing spirit, usishtuke kesho akikalishwa round ya kwanza.
BONDIA ALIYEUA NASHAURI WAWE WANASTAFISHA TU MAANA ATAKUWA ANAOGOPWA KWELIKWELI
 
Hakuna shitaka lolote dhidi ya mpinzani
Kabla ya pambano lazima usaini mkataba wa kukubaliana na lolote hata kifo
Pia sheria ipo wazi kuwa alipigana kwa ridhaa yake
Valento non fit injuria
Once u consent there is no liability in tort
Atashitakiwa mkuu ..kuna vipengele vitamfunga.
 
very easy kuandika R.I.P

kuna mtu hali yake mbaya huko tangu

apewe habari za msiba

Habari za misiba sio za kuletea matani kabisa
 
Aliyegundua huu mchezo sijui aliwaza nini?
 
Wale wajinga wa mieleka ndio huwa wanatudanganya mtu analigwa ngumi 100 mfululizo kisha anaaamka
Sitakaa niamini mieleke ni reality
 
Back
Top Bottom