Toa muongozoAibu yao...
Mechi ya kwanza iliyopigwa Dar kidunda alipigwa akapasuka jichoni akaokolewa na kusingizia kapigwa kichwa .Katompa alitandikwa na Kidunda Hadharani ila sifahamu wewe binafsi una shida gani na Kidunda. Umejaribu kuandika nyuzi kadhaa uki mdhihaki na kumshutumu Kidunda ila kitu ambacho Nina uhakika nacho Kwa Africa wapo mabondia wachache sana wenye uwezo wa ku mchallenge Kidunda.
Ndiye bondia ambaye akipanda ulingoni anatoa changamoto ya uhakika Kwa mpinzani wake na ni vigimu kumshinda.
hutaki kupewa taarifa ?Hivi kwanini wewe huwa upo upande wakutangaza mabaya tu ya watu hata kuyasema na mema yao huwa huwezi
Au una undugu na shetani maana kwako wewe binadamu wema ni Lissu na Mbowe ila wengine wana kasoro
Bondia akishinda unakuja kukosoa kuwa kapendelewa akipigwa unafurahi kweli kweli
Hizi ni roho za watu waliopigwa na maisha huwa wanatamani kila mtu awe na shida kama zao
Bado una wakati wa kubadili hiyo hali chuki humuua anaehifadhi.
Hata siku 1 huna habari ya kupongeza usiowapendahutaki kupewa taarifa ?
ziko wapi habari zao nzuriHata siku 1 huna habari ya kupongeza usiowapenda
Wewe zile habari zao mbaya au udaku unaowahusu ndio unazipenda
Kaa tu ukijua hata wabaya wana mema yao
Kuna mtu humu anajiita John the baptist mbona hutoa hata habari njema kuihusu Chadema na viongozi wake au kuhusu hata wale anaowakosoa
Ukipenda kukosoa sana watu upende na kuwasifia pia pale wanapofanya vema
Wewe bondia wa nchi hii akifanya vizuri lazima utafute kasoro sio kuangalia jema.
African Boxing UnionHiyo ABU ni nini wakuu? Pambano lilipiganiwa nchi gani?
Roho za kikolowizard aiseeHivi kwanini wewe huwa upo upande wakutangaza mabaya tu ya watu hata kuyasema na mema yao huwa huwezi
Au una undugu na shetani maana kwako wewe binadamu wema ni Lissu na Mbowe ila wengine wana kasoro
Bondia akishinda unakuja kukosoa kuwa kapendelewa akipigwa unafurahi kweli kweli
Hizi ni roho za watu waliopigwa na maisha huwa wanatamani kila mtu awe na shida kama zao
Bado una wakati wa kubadili hiyo hali chuki humuua anaehifadhi.
[emoji122]African Boxing Union