Bondia Tony Rashid avuliwa ubingwa ABU, yadaiwa ulikuwa wa koneksheni

Katompa alitandikwa na Kidunda Hadharani ila sifahamu wewe binafsi una shida gani na Kidunda. Umejaribu kuandika nyuzi kadhaa uki mdhihaki na kumshutumu Kidunda ila kitu ambacho Nina uhakika nacho Kwa Africa wapo mabondia wachache sana wenye uwezo wa ku mchallenge Kidunda.

Ndiye bondia ambaye akipanda ulingoni anatoa changamoto ya uhakika Kwa mpinzani wake na ni vigimu kumshinda.
Mechi ya kwanza iliyopigwa Dar kidunda alipigwa akapasuka jichoni akaokolewa na kusingizia kapigwa kichwa .

wote tunayo macho
 
Hivi kwanini wewe huwa upo upande wakutangaza mabaya tu ya watu hata kuyasema na mema yao huwa huwezi

Au una undugu na shetani maana kwako wewe binadamu wema ni Lissu na Mbowe ila wengine wana kasoro

Bondia akishinda unakuja kukosoa kuwa kapendelewa akipigwa unafurahi kweli kweli

Hizi ni roho za watu waliopigwa na maisha huwa wanatamani kila mtu awe na shida kama zao

Bado una wakati wa kubadili hiyo hali chuki humuua anaehifadhi.
hutaki kupewa taarifa ?
 
hutaki kupewa taarifa ?
Hata siku 1 huna habari ya kupongeza usiowapenda

Wewe zile habari zao mbaya au udaku unaowahusu ndio unazipenda

Kaa tu ukijua hata wabaya wana mema yao

Kuna mtu humu anajiita John the baptist mbona hutoa hata habari njema kuihusu Chadema na viongozi wake au kuhusu hata wale anaowakosoa

Ukipenda kukosoa sana watu upende na kuwasifia pia pale wanapofanya vema

Wewe bondia wa nchi hii akifanya vizuri lazima utafute kasoro sio kuangalia jema.
 
ziko wapi habari zao nzuri
 
Hivi kwanini wewe huwa upo upande wakutangaza mabaya tu ya watu hata kuyasema na mema yao huwa huwezi

Au una undugu na shetani maana kwako wewe binadamu wema ni Lissu na Mbowe ila wengine wana kasoro

Bondia akishinda unakuja kukosoa kuwa kapendelewa akipigwa unafurahi kweli kweli

Hizi ni roho za watu waliopigwa na maisha huwa wanatamani kila mtu awe na shida kama zao

Bado una wakati wa kubadili hiyo hali chuki humuua anaehifadhi.
Roho za kikolowizard aisee
 
Back
Top Bottom