Bondia huyo kutoka Ukraine aliyekuwa akishikiria mikanda miwili mikubwa ya lightweight 'WBA' na 'WBO' usiku wa leo ameweza kujiongezea mkanda mwingine wa tatu baada ya kumshinda muingereza Luke Campbell via Unanimous Decision (UD). Kwasasa anashikiria mikanda mitatu mikubwa ya WBA, WBO, WBC bila kusahau mwingine wa RING MAGAZINE. Vasily Lomachenko alikuwa considered as no1 pound for pound na Boxrec mwaka uliopita....
Huyo anatakiwa kukutana na kina Errol spencer jr, Gevronta davis Tank, Terence Crowford, sio hao midebwedo waingereza. Bora angepambanishwa chriss Eubank jr.