screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Bondia huyo kutoka Ukraine aliyekuwa akishikiria mikanda miwili mikubwa ya lightweight 'WBA' na 'WBO' usiku wa leo ameweza kujiongezea mkanda mwingine wa tatu baada ya kumshinda muingereza Luke Campbell via Unanimous Decision (UD). Kwasasa anashikiria mikanda mitatu mikubwa ya WBA, WBO, WBC bila kusahau mwingine wa RING MAGAZINE. Vasily Lomachenko alikuwa considered as no1 pound for pound na Boxrec mwaka uliopita....