Bondia wa kike wa bongo adundwa vibaya na mzambia!

Bondia wa kike wa bongo adundwa vibaya na mzambia!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Ni Hamisa Willy katika pambano la kimataifa lisilo na mkanda kapigwa tko roundi ya 4 na Catherin Phir wa zambia! Hoi! Source tvz2.
 
mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika,
 
mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika,

Kweli kabisa mkuu! Wako juu mno,na wako siriaz na fani zao.
 
Jamani hata kung'ata tunashindwa si angevua gloves amrarue na kucha you know kibongobongo
 
Back
Top Bottom