Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Ni Hamisa Willy katika pambano la kimataifa lisilo na mkanda kapigwa tko roundi ya 4 na Catherin Phir wa zambia! Hoi! Source tvz2.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika,
Jamani hata kung'ata tunashindwa si angevua gloves amrarue na kucha you know kibongobongo