Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,168 Reaction score 1,549 Mar 31, 2012 #1 Ni Hamisa Willy katika pambano la kimataifa lisilo na mkanda kapigwa tko roundi ya 4 na Catherin Phir wa zambia! Hoi! Source tvz2.
Ni Hamisa Willy katika pambano la kimataifa lisilo na mkanda kapigwa tko roundi ya 4 na Catherin Phir wa zambia! Hoi! Source tvz2.
M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Mar 31, 2012 #2 mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika,
mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika,
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,168 Reaction score 1,549 Mar 31, 2012 Thread starter #3 mashambani kwao said: mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika, Click to expand... Kweli kabisa mkuu! Wako juu mno,na wako siriaz na fani zao.
mashambani kwao said: mkuu zambia hatuwawezi hata kwa kutongozo tu!!tbc magamba muda mwingi wanaonyesha vidukwi na si michezo,fikiria tumeshindwa kuona kombe la afrika, Click to expand... Kweli kabisa mkuu! Wako juu mno,na wako siriaz na fani zao.
bigboi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 1,522 Reaction score 4,758 Mar 31, 2012 #4 Jamani hata kung'ata tunashindwa si angevua gloves amrarue na kucha you know kibongobongo
Ralphryder JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 5,168 Reaction score 1,549 Mar 31, 2012 Thread starter #5 bigboi said: Jamani hata kung'ata tunashindwa si angevua gloves amrarue na kucha you know kibongobongo Click to expand... Alijaribu kuruka kichwa na kupiga kipepsi akaonywa na mwamuzi!
bigboi said: Jamani hata kung'ata tunashindwa si angevua gloves amrarue na kucha you know kibongobongo Click to expand... Alijaribu kuruka kichwa na kupiga kipepsi akaonywa na mwamuzi!
M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Apr 1, 2012 #6 hahahahahaha