Bonge la coincidence, Peter Greenberg naye yuko Kigali muda huu

Bonge la coincidence, Peter Greenberg naye yuko Kigali muda huu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Wakati mama Samia akiendelea kuipigania nchi yetu nje ya mipaka na kwa wakati huu akiwa Kigali Rwanda katika moja ya summit muhimu duniani mmarekani Peter Greenberg naye yuko Kigali muda huohuo.

Peter Greenberg anakuwa mmoja ya watu wachache sana duniani asiyekuwa Mtanzania kupata bahati ya kukutana na rais Samia sehemu tatu tofauti kwa nyakati tofauti. Wamewahi kukutana Tanzania, Marekani na Rwanda.

IMG_20231102_223202_422.jpg
 
huyo kp ndiyo Big Boss wa tanzagiza, wengine wote wanatumika tu mwisho wa siku wanaripoti kwa kp …
 
Unataka kusema nini...... wazee wa code
Labda nimsadie tu mleta mada, alicholenga kusema ni hivi... "Milima huwa haikutani lakini Wanadamu hukutana"...Si hilo tu jamani🙂 Au?.
Anyway, mimi nilikuwa napita tu hapa....baadae🙂
 
Back
Top Bottom