Bonge la dada: Sipendi ninachofanya lakini sina namna

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
DANSA anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi yake ya unenguaji ambayo kwa sasa ndiyo inampa zaidi kipato.

Queen Fraison amesema, hapendi kucheza hadharani au kujidhalilisha, lakini hana budi kuendelea nayo kwani ndiyo kazi inayomuweka mjini.

“Sipendi kucheza hadharani au kujidhalilisha, mimi nina familia na nina wazazi kama watu wengine, lakini sina jinsi kwa sababu hii ni kazi inayolipa na siwezi kuiacha, hata familia yangu pia inalijua hilo,” amesema.

Fraison ameeleza kuwa wengi hawajui umaarufu alioupata umetokana na sanaa ya kucheza, na kwa sasa amekuwa akipata mialiko mbalimbali ya maonyesho kupitia kipaji chake hicho.

1760095835934.png

1760096767589.png
​
Chanzo: MwanaSpoti
 
nliwahi kusikia interview moja mtangazaji akimuuliza 'Mbosso mnafanya naye kazi kimkataba?" akajibu hapana tunafanya naye kazi kifamilia, nlimuonea huruma huyu dada!
 
DANSA anayetikisa kupitia wimbo wa Mbosso Khan “Aviola”, Queen Fraison, amefunguka kuhusu kazi yake ya unenguaji ambayo kwa sasa ndiyo inampa zaidi kipato.

Queen Fraison amesema, hapendi kucheza hadharani au kujidhalilisha, lakini hana budi kuendelea nayo kwani ndiyo kazi inayomuweka mjini.

“Sipendi kucheza hadharani au kujidhalilisha, mimi nina familia na nina wazazi kama watu wengine, lakini sina jinsi kwa sababu hii ni kazi inayolipa na siwezi kuiacha, hata familia yangu pia inalijua hilo,” amesema.

Fraison ameeleza kuwa wengi hawajui umaarufu alioupata umetokana na sanaa ya kucheza, na kwa sasa amekuwa akipata mialiko mbalimbali ya maonyesho kupitia kipaji chake hicho.

Chanzo: MwanaSpoti
Anachokifanya ni kizuri kuangalia ikiwa hatoki ktk familia yako
 
Back
Top Bottom