Bonge la Nyau atafuta mwonekano, amponda Diamond kwa mtandao

" Jaman haya mambo yanayoendelea mm yanazidi kunisangaza cz napigowa simu sana na kutumiwa msg kwamba nimepost msg ya kumponda diamond kwa kusema alimponda ali kiba before... dah kweli nishai inshu iko iv iyo account hapo juu ilikuwa yangu miezi mitatu iliyopita bt kuna matapeli wa pride walinizidi ujanja wakai haki na kuchange password mpaka email ikawa chini yao wananisumbua sana cz wanapokea deal zangu zote wanawatapeli watu, watu wakijua wanawasiliana na bonge la nyau nshapokea cm ya kulaumiwa sana mpaka kutaka kupelekwa police kwaajiri ya matapeli hao cz iyo account ilikuwa kuwa kubwa sana na ina fans zangu wengi wanaojua kuwa ni mm uyo bt sio ivyo leo wamekuja na utapeli mwingine wa kuwachonganisha diamond na ali kiba ili kutangaza mambo yao ya pride sio poa kabisa cz wananiharibia mm naonekana naingilia mambo yasiyonihusu kabisa siwezi kukaa kuponda msanii mwenzangu yoyote wala kumuongelea kwa mabaya..... iyo sio peg yangu na siitumii so kama utamuitaji bonge la nyau hapatikani kwa page iyo ntwawapostia page yangu nnayatumia, hao ni matapeli wa pride wanaowaibia watu cz hata ukisoma story vizuri wameingia mambo ya kujengewa nyumba na pride akajidai eti mbona na mm bonge la nyau nimejenga kwa mkopa wa pride no no no no me sijajenga kwa pride na still niko kwa mama yangu ni uzushi tuu wa kutaka pride i kik kwa kupitia majina ya wasanii.."
Bonge la nyau
 
Sasa huyo big p*ssy kwanini hakutoa taarifa mapema kwamba ac yake imehackiwa kabla halajatokea hili,hajui kwamba ni hatari?
 
ali kiba anajua kuimba ila diamond anajua kutengeneza pesa kupitia aina ya music anaofanya
 
Matatizo ya kukosa shule na exposure.

Katika ma rappers, hakuna rapper ambaye alikuwa anawatukana ma fake MCs kiustsdi kama Guru (R.I.P) wa Gangstarr.

Kuna siku alikuwa anahojiiwa na Sway nakumbuka, akaulizwa, anamuonaje 50 Cent. Nikafikiri Guru atakandya kwamba 50 ni shallow, lakini he was so gracious, akamsifia.

Ikanikumbusha interview nyingine, O.G Ice T aliulizwa a provocative question kuhusu Shaq, wakati huo Shaq yuko Lakers. Ice T akajibu graciously, alipobanwa zaidi akasema the code of the street prevents him to say anything negative about Shaq.

Mara nyingine matatizo makubwa sana yanaweza kuepukwa kwa kauli nzuri.
 
Si nasikia hiyo biashara ya kutoa 80k na kupata mil 20 ni ya Wema Sepetu?

Leo tena imekuwa Pride?
 
Akome nae kuingilia ya watu jamani platnum hii miaka ni yake wamuachee hawalali
Aly k nae si ajitahidi tu mbona bado ana mashabikii kibaoo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…