geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,311
- 1,780
Katika maisha yangu nimegundua me, ni bonge moja la perfectionist, tena selfish perfectionist siwezi kufurahia situation kama sina mchango katika hiyo situation, mfano nikifulia navunja mahusiano, ikitokea nikapata performance mbaya class navunja mahusiano, nikigundua demu ananizidi navunja mahusiano.
Suala la kuwa chini ya kiwango linafanya nakuwa na stress sana, perfection kwenye maisha yangu inapoguswa maisha yangu yote yanateteleka , sina ubinafsi wala wivu ni kwamba siwezi kuvumilia kuishi chini ya standard ambazo nimeziweka na mara jambo hilo linapotokea lina haribu maisha yangu yote hata marafiki nawapotezea mawasiliano nakata mpaka pale nitakapo jipanga na kuwa katika standard ambazo naona nafaa,
Je umewahi kuwa na tabia kama hii ?