Bonge la perfectionist

Bonge la perfectionist

Hahahahhaa unajutia kama Refa alocheza mechi ya Simba na Mbeya, kakubali goli,kisha akalikataa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usijuteee, tujikite tu hapahapa ili tupate mwisho mwema[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😅😅😅😅😅😅 ngoja nijenge taifa kwanza nitakurudia😉😉😁😁
 
binafsi naomba sana Mungu anisaidie, kuna demu mmoja ananipenda sana binafsi namkubali , lakini anashangaa sana ninavyobadilika ghafla, najua anadhani namfanyia makusudi lakini ukweli huwa niko kwenye mood tofauti kabisa mambo yangu yakiwa hayaendi .
 
Ukifikia muda wa kujenga nyumba na ikajengwa chini ya kiwango utakacho niite nije kukusaidia kuivunja💪💪
 
Ukifikia muda wa kujenga nyumba na ikajengwa chini ya kiwango utakacho niite nije kukusaidia kuivunja[emoji123][emoji123]
nikijenga nyumba chini ya kiwango siwezi kuwaambia watu kama ni yangu nitapangisha tu.
 
Yaan Jf ukiichukulia seious, wallah uchizi unakukaribia, duuuuh. Depression mbaya sana.
 
Watu watakucheka humu, but seriously u need to see a psychologist/go see a doctor.
 
Back
Top Bottom