Bonge moja la ngoma Mr.Fleva ft Diamond "time to party"

Mimi sijui ni ushamba au sijui maana sijaona uzuri wa wimbo kwa maana nime forward mbele tu na sijui kama nahamu ya kusikiliza tena. inawezekana sio type yangu ila unaweza kuwa mzuri kwa wengine. ila binafsi siku za karibuni sijasikia kitu nikasema hii ni hit song. ladha ya nyimbo mpya sio kiwango kabisa ni ngoma za kawaida tu ndio maana nashangaa mtu akiandika bonge la ngoma hapo najitia mashaka mimi labda nina tatizo.
 
Kwa zile promo!
Nilidhani itakuwa kaaali ila kwangu mimi imekuwa ni ngoma mbovu ambayo sikuitegemea
 
Huyu diamond kapiga hatua kubwa tuliyokuwa tunaitaka watanzania wengi wapenda burudani.tulikuwa tunataka tutoke kwenye ombwe lakuwashirikisha wao mpka kutushirikisha sisi.bravo sana diamond Mungu anawaumbua wanafki wafitini na wazandiki teem abdu kiba.

Kwenye ngoma ya flesh ulionesha hasira zako kwa kipande hiki, "kunikompea na Cinderella haiwezi kuwa sawa.
Wenye kujua mchango wako tulikuelewa mnoo.
 
Ali Kiba kaona isiwe tabu bora akapambane na akina Juma Nyosso uwanjani.
Msimu ujao coastal union...
Naomba tu Nyosso afanye kweli. [emoji867]
 

Nenda kwa mkemia mkuu utakua na matatizo makubwa sana kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…