Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Cheki mwenyewe hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitumie namba yako...😀Nifundishe na mm kuweka video
Umekunywa chai?Basata wameiona? downloadini mapema kabla Basata hawajaamka..
Njoo pm nimekutumiaNitumie namba yako...😀
Njoo pm nimekutumia
ingia youtube copy link,njoo upaste kwenye sred yako itaonekany...the same to IG videosNifundishe na mm kuweka video
😉Njoo pm nimekutumia
wabongo bana😀😀 unaona ndaliiiloooNa mimi naomba nikufundishe pia.. akimaliza Lol,, (Tuition)
Mimi sijui ni ushamba au sijui maana sijaona uzuri wa wimbo kwa maana nime forward mbele tu na sijui kama nahamu ya kusikiliza tena. inawezekana sio type yangu ila unaweza kuwa mzuri kwa wengine. ila binafsi siku za karibuni sijasikia kitu nikasema hii ni hit song. ladha ya nyimbo mpya sio kiwango kabisa ni ngoma za kawaida tu ndio maana nashangaa mtu akiandika bonge la ngoma hapo najitia mashaka mimi labda nina tatizo.
We mtoto mbona hivoNifundishe na mm kuweka video