Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
- Thread starter
-
- #21
Nakushauri nenda kapime ugonjwa wa WivumoniaMimi sijui ni ushamba au sijui maana sijaona uzuri wa wimbo kwa maana nime forward mbele tu na sijui kama nahamu ya kusikiliza tena. inawezekana sio type yangu ila unaweza kuwa mzuri kwa wengine. ila binafsi siku za karibuni sijasikia kitu nikasema hii ni hit song. ladha ya nyimbo mpya sio kiwango kabisa ni ngoma za kawaida tu ndio maana nashangaa mtu akiandika bonge la ngoma hapo najitia mashaka mimi labda nina tatizo.
nakujaa kaa hapo hapoo ila usiweke video mpaka tukatafutana hukuu maana hushindwiiNifundishe na mm kuweka video
mamaeee hahaaaNitumie namba yako...π
Watu wanacheza na mali ya mgangamamaeee hahaaa
wanatafuta " kukojoa dagaaWatu wanacheza na mali ya mganga
Copy n paste iko wapi hapo? au we ukishoot video kwenye flyover Tazara na mimi nikashoot hpo hpo ndio copy n paste?Sasa mbona ni copy and paste ya ngoma hii??