Bonge moja la ngoma Mr.Fleva ft Diamond "time to party"

Bonge moja la ngoma Mr.Fleva ft Diamond "time to party"

Mimi sijui ni ushamba au sijui maana sijaona uzuri wa wimbo kwa maana nime forward mbele tu na sijui kama nahamu ya kusikiliza tena. inawezekana sio type yangu ila unaweza kuwa mzuri kwa wengine. ila binafsi siku za karibuni sijasikia kitu nikasema hii ni hit song. ladha ya nyimbo mpya sio kiwango kabisa ni ngoma za kawaida tu ndio maana nashangaa mtu akiandika bonge la ngoma hapo najitia mashaka mimi labda nina tatizo.
Nakushauri nenda kapime ugonjwa wa Wivumonia
 
Mbona kwenye hiyo picha diamond ameinama sana? Ana shida gani?
 
Kila mwanamke anapenda kuonyesha mwili wake,hiyo ndio hulka za wanawake wote duniani,wanawake wanapenda miili yao,huku kwetu tunasema wanavunja maadili ya mtanzania,..nimeona sakata la Hamisa na mwenzake..ukweli ni aibu kwa Tanzania vipi serikali inavyowabana wanawake wa kitanzania,
tuwaache wanawake wawe wanawake...
 
Wimbo unafaa kwa jogging. Ngoja niende kwenye free download, mnisamehe wajameni vyuma vimekaza.
 
Back
Top Bottom