Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi nadhani jamaa anazungumzia shows kama za Jide (Diary) na Wema Sepetu (nini sijui on my Shoes). Kwamba badala ya kuonesha reality ya maisha yao kama dhumuni la kipindi, wao wanaigiza. Kwahiyo tunakua tunaangalia mchezo mwingine tena.
Ndio maana mwishoni kasema mbadilike wakina WS (nadhani akimaanisha Wema Sepetu).
Nilivoelewa Tu.
Cc: mwallu matumbo Heaven on earth
Mastaa wa bongo baadh bado hawatambui wao n kina nan na hawawez kuhandle status walzo nazo n km zmewakuta tu.Sanaa tuifanyayo Tz hiwe music au maigzo ni ngumu kufka levo za kmataifa coz percent kubwa imetawaliwa na ujanja ujanja.Sahv kuna realty showz hapa kwetu za mastaa ila bado weng wao hawafaham maana ya realty showz hasa hawa wasanii wa BongoMovies,Et mtu anaigza tu na kurekod kisha anasema ndio realty life yake hiz showz hazihitaj maagzo knachotakiwa uhalsia ktu ambacho hata kwenye movies zetu za kbongo hamna.My take to Bongo Celebrities mjfunze maana ya realty showz ndpo mzlete co maigzo kutuonesha ngumi za uongo uongo kule mshafel na huku tena?Mbadilike kina WS
Ulikuwa umeshikwa na 'uharo' ulipokuwa unapost!? Haraka zote hizo za nini!?
Ulikuwa umeshikwa na 'uharo' ulipokuwa unapost!? Haraka zote hizo za nini!?