Bongo Celebrities ujanja ujanja wa BongoMovies msihusishe kwenye RealityShows mnazo..

Ungezitaja ambazo aujaridhika nazo,na mapungufu yake ingekuwa mzuka sana....sasa hapa kwa mfano unaanzaje kubadilishana mawazo..
 
Mi nadhani jamaa anazungumzia shows kama za Jide (Diary) na Wema Sepetu (nini sijui on my Shoes). Kwamba badala ya kuonesha reality ya maisha yao kama dhumuni la kipindi, wao wanaigiza. Kwahiyo tunakua tunaangalia mchezo mwingine tena.
Ndio maana mwishoni kasema mbadilike wakina WS (nadhani akimaanisha Wema Sepetu).

Nilivoelewa Tu.

Cc: mwallu matumbo Heaven on earth
 
Last edited by a moderator:

asante kwa kunipa mwanga mkuu
 
Wee usithubutu kufananisha diary ya lady jaydee na uo uozo wa wema,jide anajitambua wewe, sijawah kusikia hat siku moja kujinadi kwenye show yake,uwa anazungumzia maisha yake halisi na muziki wake tu,got me??
 

Ulikuwa umeshikwa na 'uharo' ulipokuwa unapost!? Haraka zote hizo za nini!?
 
wema juzi walikuwa wanaigiza kbsa jamaa jinga kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…