iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
wana Jamii forum ambao tuko nje ya nchi yetu pendwa tukutane hapa tujadili yeyote ya kwetu Tanzania pendwa / kila mtu anakaribishwa / hata ambao wako nyumbani wanaweza changia kuhusu wana diaspora . Nawasilisha . Adam from Beijing China