Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Ray van anaimbaga kama ngonjera hiv..Yan ki kwaya kwaya kwel yan nyimbo zakeAcheni zenu Raymond ni mnyama sana. Hicho kitoto cha juzi ndio mkipambanishe na CHUI? Siyo shabaki wa yeyote kati yao but Rayvann kampita mbali sana huyo marioo kwa kila kitu.
Mkuu bongo kila mtu anastyle yake ya uimbaji. Ukisikiliza hip hop ya Kala, Makini, Fid Q utaelewa nachomanisha. Ndio maana tunaita bongo fleva. Ni muziki wenye ladha ya kitanzania.Ray van anaimbaga kama ngonjera hiv..Yan ki kwaya kwaya kwel yan nyimbo zake
Hatubishani kamanda, tunajaribu kuwaelekeza hawa vijana wa kizazi kipyaMashemeji waliozaliwa 2000 wakibishana
Uko sawa, Ray anabebwa na lebo kubwa lakini Mario ni level ingine wakuuRayvanny ana mengi sana ya kujifunza kutoka kwa marioo
Angebebwa kama akina Ray, Mario angekuwa tishio kubwa kwa Dai vilevileKwangu mimi Mario anakipaji sana kuliko Rayvany sema tu watanzania hatumzingatii, beer tamu, kwa raha
Hapana chief siko huko na kuna baadhi ya nyimbo zake nazipenda sana tu ila haiondoi fact ya mimi kuona anaimba hivyo..huwez fananisha na uimbaji wa Marioo.style za ray unaweza badilisha maneno tu ukaweka ya dini bila kubadil chochote kingine ikageuka kuwa Praise team ya assemblies churchMkuu bongo kila mtu anastyle yake ya uimbaji. Ukisikiliza hip hop ya Kala, Makini, Fid Q utaelewa nachomanisha. Ndio maana tunaita bongo fleva. Ni muziki wenye ladha ya kitanzania.
Hebu niambie Alikiba anaimba aina gani ya muziki? Mbosso, Marioo, Jay Dee?
Sema hivi unachukia label ya WCB, Over
Atleast umesema kitu.Wote wapo vizuri sababu kila mtu ana namna yake ya uimbaji, ila career wise vanny boy yupo mbali sana kulinganisha na marioo .. simkubali harmonize sababu ubunifu wake ni mdogo sana, ana copy almost kila kitu kwa diamond, hivyo ukimlinganisha harmonize na msanii wake ibra nitasema ibra mkali zaidi ya harmonize ..
Ishu sio kitoto cha juzi..ishu ni talent na product nzuri..Usipaniki.Acheni zenu Raymond ni mnyama sana. Hicho kitoto cha juzi ndio mkipambanishe na CHUI? Siyo shabaki wa yeyote kati yao but Rayvann kampita mbali sana huyo marioo kwa kila kitu.
Mondi vp hajawai copy au sioWote wapo vizuri sababu kila mtu ana namna yake ya uimbaji, ila career wise vanny boy yupo mbali sana kulinganisha na marioo .. simkubali harmonize sababu ubunifu wake ni mdogo sana, ana copy almost kila kitu kwa diamond, hivyo ukimlinganisha harmonize na msanii wake ibra nitasema ibra mkali zaidi ya harmonize ..