Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Bongo Flava Battle: Rayvanny vs Marioo

Mayunga234

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2017
Posts
1,725
Reaction score
1,995
Now kuna Battle ya hawa Wasanii kati ya Rayvanny VS Marioo.

Let discuss here do they deserve to be in Bongo Flavor Battle.

1632145984757.jpeg

Rayvanny

1632146098202.jpeg

Marioo

Marioo yuko vizuri sana tu na hapo habebwi na label ila kipaji anacho. Ray kwa maoni yangu sijawahi kumkubali mimi hata Harmo wakati yuko WCB sikuwa na uhakika naye nilikuwa namuona kama yupo yupo tu nimeanza kumuelewa kiasi baada ya kuwa kama yeye.
 
Ray van anaimbaga kama ngonjera hiv..Yan ki kwaya kwaya kwel yan nyimbo zake
Mkuu bongo kila mtu anastyle yake ya uimbaji. Ukisikiliza hip hop ya Kala, Makini, Fid Q utaelewa nachomanisha. Ndio maana tunaita bongo fleva. Ni muziki wenye ladha ya kitanzania.

Hebu niambie Alikiba anaimba aina gani ya muziki? Mbosso, Marioo, Jay Dee?

Sema hivi unachukia label ya WCB, Over
 
Upumbavu uliokithiri, hapo team WCB vs haters.
Hakuna atakayekuja na solid facts zaidi ya ushabiki mandazi, music industry ya Bongo imekuwa kama Yanga na Simba yaani kila mtu anashabikia timu yake.

Haters wa Harmonize waligeuka mashabiki mara baadaya ya kuhama WCB hali kadhalika mashabiki wake wakageuka haters, hapa wanaomkejeli Rayvanny akigombana tu na Sadala watageuka fans na wataanza kumshindanisha naye.

Ukiangalia kukitokea kumshindanisha Diamond na Ali Kiba wale wanaom'support Harmo ndiyo watakaom'support Kiba. Total stupidity, utimu bila vigezo.

Kila artist ana test na style, battles nyingine huanzishwa na timu kama mbinu ya kumkweza level msanii wao.

Ingekuwa sauti peke yake ndiyo kigezo leo hii Sadala asingekuwa hottest artist in East Africa, tuwatakie wote mafanikio na acha mafanikio yao yaongee yenyewe kwani kuna vitu hata mtu akiweka ushabiki you can never beat hard facts.
 
Mkuu bongo kila mtu anastyle yake ya uimbaji. Ukisikiliza hip hop ya Kala, Makini, Fid Q utaelewa nachomanisha. Ndio maana tunaita bongo fleva. Ni muziki wenye ladha ya kitanzania.

Hebu niambie Alikiba anaimba aina gani ya muziki? Mbosso, Marioo, Jay Dee?

Sema hivi unachukia label ya WCB, Over
Hapana chief siko huko na kuna baadhi ya nyimbo zake nazipenda sana tu ila haiondoi fact ya mimi kuona anaimba hivyo..huwez fananisha na uimbaji wa Marioo.style za ray unaweza badilisha maneno tu ukaweka ya dini bila kubadil chochote kingine ikageuka kuwa Praise team ya assemblies church
 
Wote wapo vizuri sababu kila mtu ana namna yake ya uimbaji, ila career wise vanny boy yupo mbali sana kulinganisha na marioo .. simkubali harmonize sababu ubunifu wake ni mdogo sana, ana copy almost kila kitu kwa diamond, hivyo ukimlinganisha harmonize na msanii wake ibra nitasema ibra mkali zaidi ya harmonize ..
 
Atleast umesema kitu.
 
Mondi vp hajawai copy au sio
 
Back
Top Bottom