Bongo Flava za kumwaga

Bongo Flava za kumwaga

good god

New Member
Joined
Sep 30, 2008
Posts
2
Reaction score
0
kama unahitaji bongo flava mpya na zile za nyuma,, hapa ndio mahala pake,, nipe jina la songi tu na utaupata ndani ya dakika 5(( ni bure kabisa silipishi hata buku))😱
 
Una mkataba nao hao wanamuziki wa kugawa singles zao for free au ?
 
mkataba ndio nini? bongo kuna habari za mikataba? nenda ukamuulize mamu kama ana mikataba ya kugonga kopi bila ruhusa za wasaniii,,
 
kama unahitaji bongo flava mpya na zile za nyuma,, hapa ndio mahala pake,, nipe jina la songi tu na utaupata ndani ya dakika 5(( ni bure kabisa silipishi hata buku))😱

Nolilaga - J4
 
QUOTE=good god
mkataba ndio nini? bongo kuna habari za mikataba? nenda ukamuulize mamu kama ana mikataba ya kugonga kopi bila ruhusa za wasaniii,,
Today 10:20 AM

Kaka naona umeamua kubadilisha user name yako...vipi ni kuhofia maswala ya copyright au ni kuogopa kivuli chako mwenyewe.

Sasa tukuambie karibu JF au tukuambie rudi kwenye user name yako tuliyoizoea.

Kazi ipo.
 
Angalia usi attach spyware katika hizo attachment manake kazi ipo siku hizi maofisini
 
vipi mbona kimya bwana................

or what is 5minutes in your local language?..
 
Nipatie bongo flava hizi
1. Mi Mmasai 2. Nakupenda Bibi Kizee 3. Majukumu 4. Ameniona mimi (Q chief) 5.Pombe (Mduara)
 
Back
Top Bottom