Bongo flavour vs bongo Movies..Mnalipa wapi Kodi aka TRA??

Bongo flavour vs bongo Movies..Mnalipa wapi Kodi aka TRA??

Winnie227

Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
86
Reaction score
41
Habari zenu bana!haya leo napenda kuzungumzia hili swala la ulipaji kodi
Kwenye tasnia ya mziki tanzania.leo in particular BONGOFLAVA! Haya ikiwa wafanya biashara wadogowadogo wakikimbizwa,kulipishwa kodi kwa kipato chao cha shida na kazi ngumu wanazofanya.kwanini wanamuziki wa muziki ambao unaingiza pesa sana nchini hawalipishwi kodi na TRA?wanamziki wanapiga show pesa wanapeleka yote mfokoni na ndo maana wengi wanadharau makebei na lugha chafu kwa fans.hawana nidham ya pesa.nchi zilizoendelea tunaona mastar wakubwa wanaenda mpaka jail wakishindwa ku file taxes zao...me naona TRA ingeanza kabisa kukimbizana na hawa wana bongoflavas..wanaosema wana millon 800 ambayo haikulipiwa Kodi ya mapato.ikiwa wafanyakazi,wafanyabiashara,wewe mimi na yule tunalipa kodi zetu iwaje hawa watu wa entertainment wanapewa special treatment.
Bila kuwasahau bongo movies..team zao hapa zije ziseme kama kuna uthibitisho.
t
 
Weee unataka watu wasiwe wanafanya shoe
 
Zaidi ya Ruge hakuna mwingine anaewatambua au kuwafahamu.
 
Weee unataka watu wasiwe wanafanya shoe

Uongea kama mtu mwenye upeo wa kufikiri na sio imradi tu uongee..halaaa
Nani kakataza wasifanye showoff!walipe kodi kama wafanya biashara wengine kwa mfano wauzaji masokoni,madereva taxi,mifano ni lukuki..
 
Off course Topics kama hizi za kujenga taifa..
Ambazo sio za kimbea,nani kafumaniwa na nani
Huyu kashikwa choo hiki hazipati hoja nyingi.. tunapenda umbea na sio vitu positive
 
Nashangaa TRA wamelala tu mpaka sasa tunaolipa kodi ni 1.5 milion
 
Back
Top Bottom