Bongo fleva boresheni Mziki wenu Video Mnajitahidi

prs

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
2,642
Reaction score
3,373
Salam Wakuu,
Napenda kutoa Ushauri kwa Wasanii wa Bongo fleva ,Ni Wazi kwa Sasa video zina quality na soko Wamelikamata,Ila Kwenye upande wa Music bado..
Sijui uoga unatoka wapi wakati wana Mashabiki wa kutosha ndani na Nje ya Nchi.
Kuna wakati nilimuona Diamond akijifunza guitar ilikua ni jambo zuri sana.
Mimi binafsi ninauwezo mzuri kwenye guitar sababu nimesomea pamoja na Piano niko grade 6 hivyo naujua Mziki ingawa sifanyi kwenye Majukwaa.

Maboresho
Kwanza Kabisa ni Mpangilio wa Nyimbo
-intro
-verse
-pre-chorus
-chorus
-solo
-2nd verse
-chorus 2x
-outro
Angalau mkianza kwa Mtiririko huu itakua ni hatua Moja mbele kuliko hivi Sasa.
Kwenye upande wa chords Mnatumia Major &minor tu..ndiyo Maana nyimbo zenu zinafanana..
chords
Bongo fleva ili muimbaji aweze kuimba kwa uhuru zaidi anahitaji chords tamu.
Badala ya Major &Minor tumieni
Major 7
Minor 7 or 9
Sus 4
Sus 2
Major/minor 6
Hizi zote zinapendezesha Bongo fleva..Ingekua Jazz unaweza kutumia dim,Aug au 13..nk
Mkiboresha Music na Uimbaji wenu Utakua wa Ushindani Kimataifa.
Ahsanteni kama Mtafanyia Kazi.
 
Upande wa video.
Kwanini sasa hv wanatoa video ambazo zina rangi ya kizamani mfano Joowzey,Luca,ivan, naona hadi Cralense peter wa nigeria anatoa za rangi hiyo.
Kwanini wasiwe na picha za kungaa kama Godfather na Kwetu studio
 
Nadhani wanajaribu Kufanya tofauti kuangalia Soko..Lakini wanajitahidi kwa upande wa Video..
 
Wanarekodi uzushi na ushuzi bongo alafu video kwa thabo mbeki
 
  • Thanks
Reactions: prs

Ni tatizo Mkuu..inatakiwa Waingie gharama Studio..na wapunguze kutumia auto-tune Maana hata Mashairi hayasikiki.
 
Mimi nawashauri watumie vyombo vya kinyumbani zaidi; mfano ngoma, manyanga, zumari, filimbi na debe tupu ili kuwa-convince watu wa kijijini.
 
Nadhani huo utakua ni Wakiasili Zaidi..Ambao nao unamapungufu nitakuja kueleza kwenye uzi Mwingine..
Nimeona Waboreshe Bongo fleva Maana ndiyo inakublika zaidi kwa Sasa mpaka Vijijini.
 
Salam Wakuu,
Napenda kutoa Ushauri kwa Wasanii wa Bongo fleva ,Ni Wazi kwa Sasa video zina quality na soko Wamelikamata,Ila Kwenye upande wa Music bado..
Sijui uoga unatoka wapi wakati wana Mashabiki wa kutosha ndani na Nje ya Nchi.
Kuna wakati nilimuona Diamond akijifunza guitar ilikua ni jambo zuri sana.
Mimi binafsi ninauwezo mzuri kwenye guitar sababu nimesomea pamoja na Piano niko grade 6 hivyo naujua Mziki ingawa sifanyi kwenye Majukwaa.

Maboresho
Kwanza Kabisa ni Mpangilio wa Nyimbo
-intro
-verse
-pre-chorus
-chorus
-solo
-2nd verse
-chorus 2x
-outro
Angalau mkianza kwa Mtiririko huu itakua ni hatua Moja mbele kuliko hivi Sasa.
Kwenye upande wa chords Mnatumia Major &minor tu..ndiyo Maana nyimbo zenu zinafanana..
chords
Bongo fleva ili muimbaji aweze kuimba kwa uhuru zaidi anahitaji chords tamu.
Badala ya Major &Minor tumieni
Major 7
Minor 7 or 9
Sus 4
Sus 2
Major/minor 6
Hizi zote zinapendezesha Bongo fleva..Ingekua Jazz unaweza kutumia dim,Aug au 13..nk
Mkiboresha Music na Uimbaji wenu Utakua wa Ushindani Kimataifa.
Ahsanteni kama Mtafanyia Kazi.
Unadhani hizo mj, minor, dim, augumented 7th chord etc wanazijua? Producers hawajasoma muziki na wanamuziki nao hawajasoma muziki unategemea nini.
Most of them wanachukua skereton ya beat ndo wanaenda kuimbia, hawawezi kukaa mwenyewe kudesign wimbo na instrumentation yake.
 
Kweli Mkuu producers nao ni Changamoto kwa Bongo..na ndiyo Maana nadhani waingie gharama Ku record nje Kama wanavyofanya Video..Kupata quality.
 
Mimi nawashauri watumie vyombo vya kinyumbani zaidi; mfano ngoma, manyanga, zumari, filimbi na debe tupu ili kuwa-convince watu wa kijijini.
Hahaha umevuta leo? Bado? fanya uvute
 
Hayo maboresho uliyoyaandika nadhani ni producer na wanamuziki wachache sana wanayajua na wengi sana hawayajui.

Ninaposema hawajui namaaanisha hawajui maana ya hayo maneno au hata kuyatamka hawajui na wengine hawajui kama hizo mambo zipo kwenye wimbo.
 
Mimi nawashauri watumie vyombo vya kinyumbani zaidi; mfano ngoma, manyanga, zumari, filimbi na debe tupu ili kuwa-convince watu wa kijijini.
Mziki ni kazi ya MTU na wengi wao ndiyo ajira yao,hivyo wanaangalia maslai zaidi.huo mziki unaoutaka ili mradi kijijin wafurahi sijuwi kama watakuelewa
 
  • Thanks
Reactions: prs
Muwape muda tatizo
1.elimu kwa msanii
2.ubunifu kwa maprodyuza
 
  • Thanks
Reactions: prs
Hayo maboresho uliyoyaandika nadhani ni producer na wanamuziki wachache sana wanayajua na wengi sana hawayajui.

Ninaposema hawajui namaaanisha hawajui maana ya hayo maneno au hata kuyatamka hawajui na wengine hawajui kama hizo mambo zipo kwenye wimbo.
Na hapa ndiyo panafanya Ushindani Kimataifa uwe kwenye kushindanisha Videos tu ..Lakini si Umahiri katika uimbaji na Music..
Hivyo Wanakua Wasanii Mashuhuri lakini si Mahiri.
 
Pia wajitahidi kutumia lugha fasaha kabisa,kiswahili,,wasiwekw uzungu mwingi,maana unakuta wanaweka vingereza vingi kwenye wimbo wa kiswahili halafu hata hawana melody za kizungu..Mfano Country boy,Unakuta anaimba vizuri ila tatzo vingereza vya ajabuajabu tu ndo vinaharibu wimbo..
 
Utunzi unahitaji Muda&Mazoezi Ikiwezekana na Mwalimu..Wengi hawana ubunifu Kwenye Mashahiri..ila wakiweza kuweka nidhamu kwenye haya Matatu Watafanya Vizuri.
 
Pia wajitahidi kutumia lugha fasaha kabisa,kiswahili,,wasiwekw uzungu mwingi,maana unakuta wanaweka vingereza vingi kwenye wimbo wa kiswahili halafu hata hawana melody za kizungu..Mfano Country boy,Unakuta anaimba vizuri ila tatzo vingereza vya ajabuajabu tu ndo vinaharibu wimbo..
Lugha fasaha ni muhimu sana, lakini pia mikazo (accents) ni shida sana kwenye bongo flava. Katika lugha ya kiswahili accent ya neno lenye silabi zaidi ya tatu kwa maneno yaliyo mengi ni silabi ya pili kutoka mwisho. Yaani strong beat inapaswa kutua hapo sasa muziki yetu ni vichekesho vitupu.
Wanamuziki wetu wajitahidi wasome music theory ili angalau nyimbo zivutie masikioni
 
Ushauri Mzuri sana Mkuu..Wengi Pia wana tatizo la "L" na "R".
 
Back
Top Bottom