Bongo Fleva Classic love songs of all time!

Bongo Fleva Classic love songs of all time!

U
Mimi kwangu hizi ni classic za muda wote

1. Basi Aje-MwanaFa
2. Mpweke-Banana Zorro
3. Niamini- Prof Jay ft HBC
4. Mapozi-Mr Blue
5. Wange- Mad Ice
6. Hayakuwa Mapenzi-Sugu
7. Hawapendi-Jaffarai ft Banana
8. Narudi-Mr Blue
9. Niwe nawe- Maunda Zorro
10. Wasi wasi wa mapenzi-Starra T
11. Mapenzi gani-Banana Zorro
12. Mapenzi kitu gani- Mb Dog
13. Latiffa-Mb dog
14. Vumilia-UVC ft Ferooz
15. Rudi Nyumban-Makamua
16. Fikiria-Mez B
17. Haiwezekani-Kassim
18.Barua-DNF
19. Stella-Chege
20. Na wewe- 2berry

Vip wewe za kwako ni zipi?
Umesahau ya dayamondi-wembe ni ule ule, Samia mitano tena
 
Mtoto wa geti kali–Inspector Haroun
Sonia–Juma Nature
Sifai–Q Jay
Sina demu–B Boy
 
Mimi kwangu hizi ni classic za muda wote

1. Basi Aje-MwanaFa
2. Mpweke-Banana Zorro
3. Niamini- Prof Jay ft HBC
4. Mapozi-Mr Blue
5. Wange- Mad Ice
6. Hayakuwa Mapenzi-Sugu
7. Hawapendi-Jaffarai ft Banana
8. Narudi-Mr Blue
9. Niwe nawe- Maunda Zorro
10. Wasi wasi wa mapenzi-Starra T
11. Mapenzi gani-Banana Zorro
12. Mapenzi kitu gani- Mb Dog
13. Latiffa-Mb dog
14. Vumilia-UVC ft Ferooz
15. Rudi Nyumban-Makamua
16. Fikiria-Mez B
17. Haiwezekani-Kassim
18.Barua-DNF
19. Stella-Chege
20. Na wewe- 2berry
21.Hammer Q -lady
Vip wewe za kwako ni zipi?
 
She got a gwan-Mangwair.Kwetu Kahama Clouds ilikuwa haishiki kipindi hiko either mvua inyeshe halafu ikatike ndio unaipata au redio ifungwe kwenye kenchi jioni au asubuhi ndio unaipata.
Clouds ilikuwa ya kijanja sana kwa sisi Wapori pori kipindi hicho.Dj Mully B ndio alikuwa anapenda kuupiga huo wimbo
Ooooi.
 
Parklane - nafasi nyingine
Matonya - Vaileth
 
Kafia gheto_ hussein machozi
Unanifaa _ Hussein machozi
Nipende kama nilivyo_ Cherea man
Nampenda yeye_ mh Temba
Sumu ya penzi_ Bell9
Tamaa mbaya_20percent
Kidato kimoja_aliimba jamaa mmoja mmoja jina lake limenitoka ila alikua anajiita mtoto wa NZEGA
Imekaa vibaya_kal p
Dunia njia_ Bushoke
 
Chid Benz ft Maronya - Usinipe lawama
Hard Blasters - Chemsha Bongo
Matonya - Vailet
Matonya ft Lady Jaydee - Anita
Inspector Haroun - Mtoto wa geti kali
Tmk wanaume - Dar mpaka moro
Chege ft Temba,Ferouz, YP - Twen'zetu
Dully Sykes - Hi
 
Back
Top Bottom