BONGO FLEVA : Diamond asema wasanii tunajishushia thamani wenyewe.

Great Cbn

Senior Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
165
Reaction score
43
Msanii wa muziki wa kizaz kipya ambae anafanya vizur kwa sasa Diamond platnamuz, amesema kwamba yeye kama kwenda nje au kufanya shoo angekua anafanya kila siku.Diamond amesema kwamba lazima afanye shoo ambazo zitatengeza uthamani kwa wasanii wa KITANZANI kwa kulipwa pesa kubwa. Aidha ameonyesha kushangazwa na baadh ya wasanii ambao wanajishushia thamani zao. Mfano alisema alipokuwa UINGEREZA(UK) mmoja wa mapromota alimwambia kwamba kunamsanii mmoja mkubwa wa hapa TANZANIA(jina hakulitaja ) ambaye alimuomba promota uyo wa UK amtumie tiketi ya ndege tu, na shoo zote atapiga bure uko UK. Kumbe wasanii wengine wanaonekana wanakwea pipa kwenda nje kwa shoo za kuomba mapromota.
 
Kuna show moja alifanya Jay mo! Sweden!! Haki niliona ile video nilisema kumbe hata ulaya zipo sehemu mbovu! Au sijui mataperi mapromota!? Yaani jukwaa ni meza zimepangwa kiasi jay mo katika kuruka ruka meza ikamuangusha!! Sio Siri wasanii wetu wajue thaman zao sio kwakua ulaya ndio ukafanyie show pa hovyo!
 

wewe unafikiri wakiwa lets say london....wanaweza kujaza WEMBLEY ARENA,O2 ARENA....au BIRMINGHAM NEC???!!kwanza hao mapromota wao uchwara hawana hela ya kukodi hata local council hall.....wanaishia kwenye vi-pub na club za kichovu.....im talking from experience coz nishawaona hao wasanii wakija na viukumbi/vibaa wanavyoenda kupiga......aje hapa msanii au promota aseme amepiga ukumbi gani........
 

Heri hata huyo amewekewa meza, watu wanapiga shoo bar hata stage hamna. Hela ya kulipia ukumbi iko wapi?hata hiyo shoo yenyewe asipoangalia anaweza asijaze watu kwani huenda wabongo ni wachache kwenye hilo eneo na hata hao wachache hawaendi wote kwenye shoo. Huko ni ki hardcore zaidi hakuna kuremba kama bongo.
 
wenzao kina ferre na fally wanaijaza le zeneth du paris mpaka inatema halafu wao wanaishia ku perfom kwenye v pub.njaa mbaya.
 
Iyo ya jay mo ni noma sana aisee hata T.I.D mwenzake JAGUAR kapoke pounds of money ye akawa anang'a macho tu uko UK.
 
wenzao kina ferre na fally wanaijaza le zeneth du paris mpaka inatema halafu wao wanaishia ku perfom kwenye v pub.njaa mbaya.

utasikia pasport imechafuka namaliza pages tu,kumbe hovyo,af kuna moja juzi kati alisa uk karudi?au bado anapiga daiwaka apate nauli
 
Hata dully @sykes ashawahi ongelea swala hili alisema hawezi kwenda uk or usa kupiga show sebuleni au kwenye besidei.
 
Last edited by a moderator:
kuna msanii mkubwa nisingependa kumtaja tulimuita marekan kapiga show tano tulimpa dolla 1500 tu. alishukuru sana sababu ndio ilikuwa mara ya kwanza kufika marekan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…