Msanii wa muziki wa kizaz kipya ambae anafanya vizur kwa sasa Diamond platnamuz, amesema kwamba yeye kama kwenda nje au kufanya shoo angekua anafanya kila siku.Diamond amesema kwamba lazima afanye shoo ambazo zitatengeza uthamani kwa wasanii wa KITANZANI kwa kulipwa pesa kubwa. Aidha ameonyesha kushangazwa na baadh ya wasanii ambao wanajishushia thamani zao. Mfano alisema alipokuwa UINGEREZA(UK) mmoja wa mapromota alimwambia kwamba kunamsanii mmoja mkubwa wa hapa TANZANIA(jina hakulitaja ) ambaye alimuomba promota uyo wa UK amtumie tiketi ya ndege tu, na shoo zote atapiga bure uko UK. Kumbe wasanii wengine wanaonekana wanakwea pipa kwenda nje kwa shoo za kuomba mapromota.