BONGO FLEVA : Diamond asema wasanii tunajishushia thamani wenyewe.

kuna msanii mkubwa nisingependa kumtaja tulimuita marekan kapiga show tano tulimpa dolla 1500 tu. alishukuru sana sababu ndio ilikuwa mara ya kwanza kufika marekan

mmmh noma kweli iyo afu utasikia et anakuambia nilienda kufanya TOUR yangu uko ABROAD.
 
atakua dimpoz huyooooo
Hahaha dimpoz inabid akaogee maji ya mchele kwasababu WATZ wamekua wakimchukia kinoma hata akikosea kidogo mf; KICHUPA cha ME & U watu full kumtukana na hapa juz kuhusu NGWEA ndo balaaa me naona HUYU atakufa kwa STRESS ZA KUCHUKIWA sio za umaskini
 
kuna msanii mkubwa nisingependa kumtaja tulimuita marekan kapiga show tano tulimpa dolla 1500 tu. alishukuru sana sababu ndio ilikuwa mara ya kwanza kufika marekan

wewe upo marekani, mara unasumbuliwa na rafiki uoe dada zao, mara unasumbuliwa coz wew handsm, mara promota duuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…