Bongo Fleva: Kumtaja Wema Kila wimbo

Bongo Fleva: Kumtaja Wema Kila wimbo

Naona mtoa mada anaona gere kwa nini atajwe Wema tu,next time utatajwa mkuu usijali
 
Kawaida ni wakati wake...

Mbona huko Nyuma alitajwa sana Ray C, Nancy Sumari Je?
 
Hiyo kawaida kama anavyotajwa Beyonce USA ...ila Wema ameharibu kuliwa denda na kinyozi hadharani...sasa Amber Rutty atachukua maujiko
[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sawa wakutaje ww je uko tayri wachezee SUMAKU yako?
 
Back
Top Bottom