Bongo Fleva na ushirikina

Bongo Fleva na ushirikina

The only

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2011
Posts
10,805
Reaction score
14,181
Salaam!

Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga bajeti ya viwalo na kuwaunga kwa master mmoja awanoe ukweli sikuwa na haraka niliwaweka kambi 5 months nalipia kila kitu nkawalipia na gym (ni muhimu kwa masauti) wa kwanza nikamtoa ana kawimbo maarufu staki mkajue kalipata youtube viewers laki 5 bila kuhonga .
ili kuokoa muda dogo alianza ulevi kiburi mpaka sasa ni teja 100%,sikukata tamaa nikajikita kwa huyu wa pili maana ndo anakipaji mboso anasubiri,huyu dogo kuna siku ghafla alinambia kaka naomba tukae kikao nikuambie ukweli.

Nilichoka akanieleza kaka narudia uislamu wangu ananiambia kama unataka umuone shetani live nenda kwenye bongofleva yaani hakuna narudia HAKUNA asie mshirikina yaani wanalala kwa waganga masharti wanayopewa:
1. kulala na mama zao wazazi
2.kuliwa tigo ,yaani hii 80% ya wote wanaliwa ,ipo lebo msanii mmoja alijitoa na hasira juu ni mweusi jamaa alikataa kuliwa na mwenye lebo,mpaka nikaelewa kumbe P DIDDY sio kuwa alikuwa anawakomoa au anawatamani ni masherti ya ili uwe maarufu na ushine .
3.Kukataliwa kuoa ,tunajiuliza mbona vijana wa mziki wanakimbia ndoa kumbe wanapewa mke wa kijini kwanza ambae sharti lake lazima ulale nae yeye kwa hiyo hata hao wapenzi hawaishi nao wanakaa wenyewe .
4.Hata yule msanii wangu wa kwanza ni kwamba wamemuibia nyota alizubaa

UJUMBE KWA WAZAZI

Kataa mwanao asijihusishe na bongo flava aidha kibaya sana ni kwamba mpaka waimbaji wa injili nao wanakesha kwa waganga ,mmoja kijana anapanki yeye kaambiwa lazima ale jicho mtu kila siku flani ya wiki mpya yaani anateseka sana kasha zurura na malaya wote ,pia na yeye lazima agongwe ukitajiwa na alivo na mziki wa baraka huwezi amini,sasa nimeamini waislamu kuwa MUZIKI NI KHARAMU
 
Hizo story sio mpya

Rose muhando ashasema free kabisa kuwa alifanyishwa uharamu na kuvutishwa madawa

Lady Jay Dee ashasema wasanii wa kike wengi bila kutoa ngono hufiki popote na akaongezea watu wamshikilie ruby maana vita ni kali..

Wasanii wengi pia mfano Jay Melody, Gigy money washakili kwenda kwa waganga baada ya kushauriwa kutoka kimuziki au wamepigwa ndumba

Entertainment business kiuhalisia imejaa ushetani mwingi sana, ngono, ulevi, ushirikina etc

Lakini haimaanishi kila aliyemo anafanya mfano hao wasanii ulikuwa unawasimamia WEWE, wewe ndiye uliyekuwa unawapa support. Chochote walichokiamua walikiamua WAO maana wengi hupitishwa kwenye ujinga mwingi ili wapate support.

Kama wewe umeshawapa, the rest ilikuwa ni juu yao maana huwezi ku acha kufanya kitu kwa sababu wengine wanafanya vibaya haswa ukipewa support..

Tafuta vijana wengine wenye njaa, hao hawakujizatiti tu. Wana vipaji Ila ambition hawana
 
uzwazwa tu sasa kuliwa tigo kuna uhusiano gani nakufanikiwa..? wabongo wengi akili ni hakuna mtu anabebwa nakipaji chake,utiifu,umakini na jitihada.
ushirikina ni dhana potofu mno lkn kuna vijinga bado vimeshikilia ushirikina!.. huo ushirikina ulishamsaidia nini muafrika mpk akizidi maendeleo wazungu..?
waafrika tumekaa kizembe sana!.
 
Wee ulishaona uchawi wa mzungu ulivyo na nguvu? Wa mwafrika cha mtoto
 
Hao waganga mbona wao wanashindwa kutumia huo uganga wao kuwa na maisha bora?

Au hao waganga ni kina nani?

Je ni waganga hawahawa wa kibongo bongo wenye maisha ya kuunga unga?
 
uzwazwa tu sasa kuliwa tigo kuna uhusiano gani nakufanikiwa..? wabongo wengi akili ni hakuna mtu anabebwa nakipaji chake,utiifu,umakini na jitihada.
ushirikina ni dhana potofu mno lkn kuna vijinga bado vimeshikilia ushirikina!.. huo ushirikina ulishamsaidia nini muafrika mpk akizidi maendeleo wazungu..?
waafrika tumekaa kizembe sana!.
Mimi nakataa kabisa hii dhana.

Yani kama maisha yangekuwa rahisi hivyo, Kwamba ukishaliwa tigo tu unafanikiwa automatically.

Mashoga wengi sana waliojazana sinza, kinondoni, Zanzibar n.k wangesha kuwa matajiri wakubwa.

Lakini sivyo, Hata hao mashoga wanaoliwa tigo bado maisha yao ni ya kuunga unga.

Hakuna uchawi, ushirikina, kuliwa tigo kunako mfanya tu awe maarufu au tajiri.

Hizi ni dhana za waafrika hasa watanzania wapumbavu wanao karirishana ujinga.

Maisha si rahisi kihivyo. Kwamba uliwe tigo tu, paaap! uomoke uwe maarufu au tajiri..!!

Never..!!!
 
Back
Top Bottom