Bongo Fleva na ushirikina

Bongo Fleva na ushirikina

Hizo story sio mpya

Rose muhando ashasema free kabisa kuwa alifanyishwa uharamu na kuvutishwa madawa

Lady Jay Dee ashasema wasanii wa kike wengi bila kutoa ngono hufiki popote na akaongezea watu wamshikilie ruby maana vita ni kali..

Wasanii wengi pia mfano Jay Melody, Gigy money washakili kwenda kwa waganga baada ya kushauriwa kutoka kimuziki au wamepigwa ndumba

Entertainment business kiuhalisia imejaa ushetani mwingi sana, ngono, ulevi, ushirikina etc

Lakini haimaanishi kila aliyemo anafanya mfano hao wasanii ulikuwa unawasimamia WEWE, wewe ndiye uliyekuwa unawapa support. Chochote walichokiamua walikiamua WAO maana wengi hupitishwa kwenye ujinga mwingi ili wapate support.

Kama wewe umeshawapa, the rest ilikuwa ni juu yao maana huwezi ku acha kufanya kitu kwa sababu wengine wanafanya vibaya haswa ukipewa support..


Tafuta vijana wengine wenye njaa, hao hawakujizatiti tu. Wana vipaji Ila ambition hawana
Huyo ruby wahuni wamekifunua sana hapo kinondoni kwasababu ya ulevi wake.
 
Mganga ni agent kati yako na shetani ata yeye akitaka utajiri anafuata masharti wapo waganga matajiri wapo wengi tu ata mume wa zari alikuwa mganga
Mganga ni dalali (mtu kati) tu kati ya shetani na mtu anayetaka huo utajiri/umaarufu. Ila masharti yake ni mazito wengi wanavuma kidogo kisha wanachemka kutekeleza masharti ya shetani ndio hupotea kwenye game
 
hakuna hizo habari uchawi! kama ulishawahi kushuhudia toa ushahidi hapa
Sasa na wewe uchawi wa mzungu upo hadhari kabisa wee huoni? Sii ndalama mwanawane kuna uchawi zaidi ya huo mzeeya?
Hawa jamaa wachawi hadi kwenye uchawi wenyewe wameandika In God we trust. Usipinme mzeya
 
Kwamba Domo alitaka kumla 💩 Mavokali😂😂😂😂😂😂.

Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tena😂😂
Kwanza angetusimulia tu yule chinga mkipishana jiandae file lako kuwekwa hadharani
 
hata kama umetunga story hiyo number mbili ni ukweli mtupu asilimia 100 ya wasanii wakiume wamepoteza marinda.
hawa waganga hua wanawambia ukitafunwa unabeba nyota.
 
Salaam!

Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga bajeti ya viwalo na kuwaunga kwa master mmoja awanoe ukweli sikuwa na haraka niliwaweka kambi 5 months nalipia kila kitu nkawalipia na gym (ni muhimu kwa masauti) wa kwanza nikamtoa ana kawimbo maarufu staki mkajue kalipata youtube viewers laki 5 bila kuhonga .
ili kuokoa muda dogo alianza ulevi kiburi mpaka sasa ni teja 100%,sikukata tamaa nikajikita kwa huyu wa pili maana ndo anakipaji mboso anasubiri,huyu dogo kuna siku ghafla alinambia kaka naomba tukae kikao nikuambie ukweli.

Nilichoka akanieleza kaka narudia uislamu wangu ananiambia kama unataka umuone shetani live nenda kwenye bongofleva yaani hakuna narudia HAKUNA asie mshirikina yaani wanalala kwa waganga masharti wanayopewa:
1. kulala na mama zao wazazi
2.kuliwa tigo ,yaani hii 80% ya wote wanaliwa ,ipo lebo msanii mmoja alijitoa na hasira juu ni mweusi jamaa alikataa kuliwa na mwenye lebo,mpaka nikaelewa kumbe P DIDDY sio kuwa alikuwa anawakomoa au anawatamani ni masherti ya ili uwe maarufu na ushine .
3.Kukataliwa kuoa ,tunajiuliza mbona vijana wa mziki wanakimbia ndoa kumbe wanapewa mke wa kijini kwanza ambae sharti lake lazima ulale nae yeye kwa hiyo hata hao wapenzi hawaishi nao wanakaa wenyewe .
4.Hata yule msanii wangu wa kwanza ni kwamba wamemuibia nyota alizubaa

UJUMBE KWA WAZAZI

Kataa mwanao asijihusishe na bongo flava aidha kibaya sana ni kwamba mpaka waimbaji wa injili nao wanakesha kwa waganga ,mmoja kijana anapanki yeye kaambiwa lazima ale jicho mtu kila siku flani ya wiki mpya yaani anateseka sana kasha zurura na malaya wote ,pia na yeye lazima agongwe ukitajiwa na alivo na mziki wa baraka huwezi amini,sasa nimeamini waislamu kuwa MUZIKI NI KHARAMU
Hawa watu wengine wanatuchanganya sana ebu moderator ongezeni sauti hiyo nyimbo ya kwangwaru alafu ijirudie rudie tafadhali..!
 
Kwamba Domo alitaka kumla 💩 Mavokali😂😂😂😂😂😂.

Najua haiwezi kuwa Chinga maana pangechimbika. Yeye mwenyewe anapenda kimba halafu umuombe kimba tena😂😂
Na Kwahiyo M.L.D wamekubali..??
 
hata kama umetunga story hiyo number mbili ni ukweli mtupu asilimia 100 ya wasanii wakiume wamepoteza marinda.
hawa waganga hua wanawambia ukitafunwa unabeba nyota.
Bongo fleva wote ni wachawi tu, nashangaa watu wanaopenda kusikiliza muziki huo
Hizo nyimbo sio nzuri kabisa kwa watoto huwa nashangaa nikiona mama anawachezesha mtoto wake
 
Hizo ni tabia za watu tu wameziset ili kupata majicho maana ndo stareh yao na ukizingatia vijana wengi wana njaa ya pesa na umaarufu.
Sidhani kama ni lazima ukiwa Star wa muziki ule au uliwe inategemea tu wewe ulipita njia gani au mkononi mwa nani.
Tukubaliane kwanza si wote ndipo tujadili mada vinginevyo ni majungu na wivu.
 
Sehemu zote zenye maokoto haya mambo ya kishetani yapo sana, inabaki kwako kuchagua upande eidha wa Mungu au Lucifer.
Aidha uchague upande wa Shetani au Luciffer ila jua tu uchomoki. Ukisimama nchale ukiinama nchale.
 
Wengine wanaambiwa wafanye uchafu na watoto wadogo chini ya miaka 10.
 
Back
Top Bottom