Bongo Fleva na ushirikina

Hao waganga mbona wao wanashindwa kutumia huo uganga wao kuwa na maisha bora?

Au hao waganga ni kina nani?

Je ni waganga hawahawa wa kibongo bongo wenye maisha ya kuunga unga?
Mganga ni agent kati yako na shetani ata yeye akitaka utajiri anafuata masharti wapo waganga matajiri wapo wengi tu ata mume wa zari alikuwa mganga
 
mimtu ni mijinga ndio maana unapigwa pesa na akina nabii nani sijui..🤣
 
Issue ni connection mkuu, unaweza ukatoa ndogo na bado ukaendelea kula msoto.
 
Sio chai huo ndio ukweli Mungu hawezi kuonekana kwenye uchafu wa muziki wa kidunia Kuna sadaka wanazitoa Hawa madogo sio kazi rahisi kuona kijana mdogo anamiliki mali nyingi hivyo wanazomiliki Hawa vijana wa bongofleva
Hakuna maisha rahisi hivyo.

Hakuna Shetani, mchawi, mganga, anayetoa mali kwa watu.

Hizo ni tamaa za watu tu kutaka kuwarubuni vijana wakidhi tamaa zao na haja zao za kimwili.

Lakini haina maana kwamba kijana akishaliwa, atakuwa maarufu au atakuwa tajiri.
 
Issue ni connection mkuu, unaweza ukatoa ndogo na bado ukaendelea kula msoto.
Kama ni swala la connection sawa.

Ila kusema eti kuna masharti ya kuliwa tigo, kwamba ukisha kubali kuliwa utakuwa tajiri automatically kwa nguvu za kichawi au kishetani,

Hilo ni uongo na si kweli.

Hakuna nguvu zozote zile za kishetani au kichawi zinazotoa utajiri na umaarufu.
 
Hao waganga mbona wao wanashindwa kutumia huo uganga wao kuwa na maisha bora?

Au hao waganga ni kina nani?

Je ni waganga hawahawa wa kibongo bongo wenye maisha ya kuunga unga?
Kwani waalimu wanaofundisha kuhusu business huwa na business kubwa kuliko wanafunzi wao

Au mentors na sponsors huwa na maisha makubwa kuliko wanaowarahisishia kupata

Kiufupi kuna maagano na sheria kwenye kila kitu hususani kwenye mambo ya kiroho mkuu
 

Maji ya afya mtaani yanauzwa hadi jero Ila kuna hotels zinauza hadi 5000

Wakati kuna wanawake wanajiuza kimboka kwa 3000 , kuna wanawake wanacharge hadi 500k kwa usiku mmoja

Wakati kuna wanawake wanahongwa 30k kwa masimango, kuna wengine wanajengewa nyumba na kupewa vacation sehemu yoyote wanayotaka duniani.

Kiufupi dunia haiendi kama ulivyoandika. Kila kitu kinategemeana na mnunuzi, mnunuliwaji na location.

Tajiri anaemtaka msanii au mtu yoyote ataenda kwa offer kubwa kulingana na thamani ya mtu husika. So usishangae mtu kupewa high life kwa kuwa king'asti wa jimama au wa mwanaume mwenzake.

Ndio mambo ya mjini mkuu
 
Sasa hapo ni tamaa za mhusika mwenyewe kukubali au kukataa.

Lakini hakuna uchawi au uganga wowote hapo unaomfanya msanii afanikiwe au awe maarufu.
 
Watakuja kukupatia pole kwa kuliwa Tigo wakidai hili povu lote si bure...🤭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Kaka mm sa nikudanganye ili iwe nini .naongea kwa kujiamini 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…